Umoja Party Wapinzani halisi kutoka jikoni, je Wataweza Kulamba shubiri badala ya Asali?

Tatizo mnaanzisha vyama kupambana na CHADEMA na sio CCM. Muulize ACT Leo yupo wapi? Alidhani 2015 ataipiku CHADEMA akaishia kupata kura 90,000 za urais. Hicho chama cha umoja party kisiingie na hiyo gia ya kupambana na CHADEMA. Ili kifikie level ya CHADEMA inatakiwa wakae miaka kumi kwanza.
Umoja Party ni Mpinzani wa CCM

Hakiwezi kuwa Mpinzani wa chama ambacho hakitawali
 
Utupolo kwako. CCM wapo tayari kuua watu ili wabaki madarakani. Wao wanajivunia jeshi, Tume na mahakama. Uchaguzi ukikaribia Viongozi wa dini wanawekwa mbele , tulinde amani tulinde. Unajiuliza kwani mbona tumeishi kwa amani muda wote imekuwaje Leo tunasisitiziwa?.
Unajua kwanini CCM haikuomba usajili kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa 1992?
 
Nimecheka kwa nguvu, mtu ana 70+ ndio unategemea aje afanye maajabu kwenye siasa?! Anyway ngoja tuone hicho chama kilichotakiwa kuanza wakati wa Magufuli ili kufanya siasa za kuratibiwa na ccm, tuone kama kitatoboa. Kizazi kimebadilika hiki, siasa za kuchomekewa ni ngumu kwao.
Biden ana umri gani na anaongoza Dunia,uwezo wa kufikiri ndani ya box ilihali una degree makaratasi shida we na stndrd 3 mko sawa tofauti umri tu
 
Umoja Party kikikamilika usajili ndio chama kitakachobeba upinzani halisi Tanzania. Chadema kina unafiki mwingi
Kwenye kusajiriwa hapo ndipo kijani wanapo chukulia point usajiri umechukua mda mlefu Sana Kwani chombo kinacho sajiri kipo chini ya chama kinacho enda kupingwa na umoja party
Tuombe mungu Yale mapepo ya UFISADI yalegeze kidogo katika hili
 
Tatizo mnaanzisha vyama kupambana na CHADEMA na sio CCM. Muulize ACT Leo yupo wapi? Alidhani 2015 ataipiku CHADEMA akaishia kupata kura 90,000 za urais. Hicho chama cha umoja party kisiingie na hiyo gia ya kupambana na CHADEMA. Ili kifikie level ya CHADEMA inatakiwa wakae miaka kumi kwanza.
Amna mtu mwenye shida na hayo machadema yenu ya kinafiki .tunataka chama channye mrengo wa kitaifu na chanye msimamo wa resilimal zatu na kupinga ufisadi
 
Biden ana umri gani na anaongoza Dunia,uwezo wa kufikiri ndani ya box ilihali una degree makaratasi shida we na stndrd 3 mko sawa tofauti umri tu
Marekani inaongozwa na mifumo na sio utashi wa chama kilichoko madarakani. Kule hata mtu mwenye miaka 120 anaweza kuwa kiongozi maana tayari mifumo yao iko imara. Huku huyu mzee anawezana na siasa za kubambikiwa kesi na kuishia jela?
 
Back
Top Bottom