Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,351
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati ya siasa ya mkoa.

Ikumbukwe kwa kanuni za mwaka huu ni kuwa kuna Vikao vya kamati za mchujo ngazi ya wilaya na Mkoa .ambapo wilaya inaweza pendekeza majina yake na mkoa nao ukapendekeza majina yake au kupitisha na kubariki yale yaliyopitishwa na ngazi za wilaya.

Lakini baada ya mkoa kuna vikao vya sekretarieti kabla ya vile vya kamati kuu ambavyo ndio vitafanya uamuzi wa mwisho juu ya majina Matatu yatakayo kwenda kupigiwa kura na wajumbe . Kwa hiyo mtu anaweza akawa alikatwa na kutokupendekezwa na vikao vya wilaya na mkoa lakini kamati kuu ikarejesha jina kuwa miongoni Mwa majina Matatu yatakayo pigiwa kura na wajumbe.

Kwa hiyo Kamati kuu ndio Mwamuzi wa Mwisho wa mtanange huu wa kukata na shoka na ambao mtu yupo tayari kufanya lolote lile kupata nafasi hii ya Ubunge.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kuwapa watu hawa fomu bila kuwasikiliza nn haswa wanataka kufanya?,?
 
Wote wale waliokuwa ndumila kuwili awamu ile walisema hivi na awamu hii walipochaguliwa wakasema vile ni factor kuu ya kukata hapa naongelea
1. Gwaji lady
2. Mollele
3. Ummy teacher
Na the like
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati ya siasa ya mkoa.

Ikumbukwe kwa kanuni za mwaka huu ni kuwa kuna Vikao vya kamati za mchujo ngazi ya wilaya na Mkoa .ambapo wilaya inaweza pendekeza majina yake na mkoa nao ukapendekeza majina yake au kupitisha na kubariki yale yaliyopitishwa na ngazi za wilaya.

Lakini baada ya mkoa kuna vikao vya sekretarieti kabla ya vile vya kamati kuu ambavyo ndio vitafanya uamuzi wa mwisho juu ya majina Matatu yatakayo kwenda kupigiwa kura na wajumbe . Kwa hiyo mtu anaweza akawa alikatwa na kutokupendekezwa na vikao vya wilaya na mkoa lakini kamati kuu ikarejesha jina kuwa miongoni Mwa majina Matatu yatakayo pigiwa kura na wajumbe.

Kwa hiyo Kamati kuu ndio Mwamuzi wa Mwisho wa mtanange huu wa kukata na shoka na ambao mtu yupo tayari kufanya lolote lile kupata nafasi hii ya Ubunge.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Veep hujalia machozi ya faraja 😅😅😅🤣🤣
 
CCM is dying slowly
 
Hiyo huruma anaipata Kwa nani wakati Mikoa inafanya kwa maelekezo ya kalamu ya blue ili kuipunguzia lawama....!
 
safi sana new breed ya CCM inakuja kuendana na kasi ya maendeleo ya mama
 
Hawa watu hata aina ya uwekezaji wanafanya baada ya kuiba hela za umma unakuta hauna tija yeyote kwenye jamii inayowazunguka zaidi ya watu wawili watatu ndani ya familia.

Mtu ananunua nyumba SA au Dubai anapangisha imetoka hiyo.
Wakati angeanzisha hata viwanda au production business kama mashamba makubwa ya kisasa na processing industries wangekuwa wanatoa maelfu ya ajira kwenye jamii zao zinazowazunguka na kuondoa umasikini kwa kiasi kikubwa.

ndani ya viunga vya Basra-Iraq.
 
Back
Top Bottom