jamal omary
New Member
- Sep 4, 2013
- 4
- 0
Kuna mambo mengine yanatia hasira sana,jamaan eeeh! huku maeneo ya kwetu ninapo ishi kuna watu wanaojiita wajumbe na madalali hapo hawali ardhi ilikuwa imepimwa na watu wakawa wamemilikikishwa na hatimiliki wanazo ila kwakuwa palikuwa pori watu waliokuwa wameliki ardhi wakawa wanasubiri mpaka pawe mjini sasa cha kushangaza hawa wajumbe na madalali wakajimilikisha ardhi na kuanza kuuza maeneo ya watu alafu sasa waliuziwa ardhi na madalali wameshajenga na wenye maghorofa wamesha jenga sasa kinashotia watu wazimu ni hili la kuambiwa kwa muda wowote usiojulikana wenye hati zao miliki watakuja kuchukua maeneo yao na walio uza ardhi za watu wapo kitaani na maeneo walio uza ni plot nyingi sana na kila plot moja nyumba kama kumi.