Umghaka yuko wapi?

Umghaka yuko wapi?

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
684
Reaction score
1,541
Kifupi....

Huyu jamaa alikuwa hataki umchoshe wala yeye hakutaka kutuchosha....Huyu jamaa yuko wapi siku hizi!? ...alikuwa anatuburudisha sana stori zake hapa JF...

Ni miaka mingi imepita sijamsikia ama kuona stori yake mpya ya 2024 au 2025 hapa....kwani alikua anahadithia kwa kusisimua na uandishi wakumpiku mpaka shingogo...

Umughaka uko wapi!? Mara ya mwisho ulituambia ulikua unapiga mishe ya boda, hauna tukio lolote jipya la maisha yako u share na sisi!?

Napenda kuwasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom