Umezaliwa lini

Mimi naomba kuuliza....Je Scorpio na Pisces ni "match" nzuri au kuna mushkeli kidogo.........wenye experience....naomba jibu....Thx.
 
Mimi naomba kuuliza....Je Scorpio na Pisces ni "match" nzuri au kuna mushkeli kidogo.........wenye experience....naomba jibu....Thx.

Pisces and capricon superb for scopio .. ref to Kafara's earlier post
 
Alieandika hii kawapendelea wa july sifa keded kede yaani mpaka basi.
Patamu apo kama kweli.
I belong to the month of JULY
 
Wakina sheikh Yahya wanapotumia research za wengine halafu wanadai ni utabiri....

Kwa wale wanaotaka maelezo ya kina kujua compatibilities na partner/wenzi wao gonga hapa,
Compatibilities for Relationships between Enneagram Types


Ila kwanza utahitaji kuyaelewa haya makundi:
The Reformer
The Helper
The Achiever
The Individualist
The Investigator

The Loyalist
The Enthusiast
The Challenger
The Peacemaker

Enagram Research

.

Ehe ndugu yangu Lazy dog, hizo number or types zinapatikana kwa fomula gani ya mahesabu? Nipe nondo hizo naona ni nzuri . Thanks.
 
Maane, kwenye hiyo website unaweza ku-click links zilizo kushoto hapo. Waweza anza na Type Descriptions, hapo kuna maelezo kwa ufupi. Personality yako ni moja kati ya hizo 9. Kwa maelezo ya kina, click mojawapo.

Ukisha i-spot personality type yako, unaweza sasa kwenda kwenye link ya compatibilities niliyoweka ili uone jinsi unavyo-match na wengine wa personalities mbalimbali.

Unapozisoma hizo personalities 9, jaribu kuwakumbuka watu unaowafahamu kuona wana-fit kwenye ipi. Wazazi, ndugu zako, marafiki uliosoma nao, n.k.

Feel free kuona ni kipi kingine cha kujifunza humo kwa ku-click hizo links kushoto, mfano - how it works, FAQ, etc.



.
 
ivi na wenyewe sifa za ukatili mbona sijaona wapo mwezi gani!! ! mana kote ni sifa tu zinazo fanana ingawa zimewekwa kisanii zaidi kutofautisha sentinsi tu...

am sept... by the way!!!
 
Aries and Scorpio

When Aries and Scorpio come together in a love match, it can be the kind of relationship where they both wonder how they ever managed apart. Both Signs love power and they can achieve just about anything -- as long as they learn to share the spotlight. Scorpio is very focused; once they set their sights on Aries, Aries is most likely powerless to resist! Scorpio has a deeper and more complex devotion to this relationship than does Aries.

These two Signs tend to engage in heavy, heated arguments. Their connection is highly passionate and often argumentative, because both partners have jealous tendencies. Scorpio tends to be more patient, but is also more possessive than Aries -- and can lash out (with that Scorpion sting!) when their feelings get hurt. Despite their differences in emotional involvement, both partners love risk and taking chances; this is not a boring relationship! Aries and Scorpio can have lots of adventures together. They may have trouble understanding one another -- Aries is a true extrovert, totally up-front and open, while Scorpio is more inward, emotional and, at times, manipulative. Sometimes a truce is necessary to keep things running smoothly!

Aries and Scorpio are both ruled by the Planet Mars (Passion), and Scorpio is also ruled by Pluto (Power). When two people with Mars's energy come together, it's like two soldiers on a battlefield -- they're either allies or deadly enemies. Mars also represents passion, so Aries and Scorpio tend to have an exciting time together (both in the bedroom and out of it!). Arguments are normal in such a challenge-oriented couple -- and making up is definitely something to look forward to! Pluto adds extra intensity to this dynamic.
 
Alieandika hii kawapendelea wa july sifa keded kede yaani mpaka basi.
Patamu apo kama kweli.
I belong to the month of JULY


Do you feel that you belong to the description given on the month of JULY more than on any other?



.
 
ivi na wenyewe sifa za ukatili mbona sijaona wapo mwezi gani!! ! mana kote ni sifa tu zinazo fanana ingawa zimewekwa kisanii zaidi kutofautisha sentinsi tu...

am sept... by the way!!!


mbona kama umesoma nusu nusu kuna descriptions like revengeful, fighter , rebellious, hard hearted, easily angered, love of aggressiveness etc etc
 
[
madhalan kama wewe ni mtu wa hasira .. you can always get someone who is the opposite ... there are people in this world ambao you can swear you have never seen them angry ... hata ukimuudhi vipi .. havent you ever come across one?
Well am not an expert on this but .... well i would love to know your status ... ulizaliwa lini????[/QUOTE]
Kwa hiyo tukitaka wenza watutumie cv kama MANKA???
AM APRIL BABY.....
and love the last sentence
 
------------AUGUST BABY ---------------
outgoing personality. takes risks. feeds on attention. no self control. kind hearted. self confident. loud and boisterous. VERY revengeful. easy to get along with and talk to. has an 'every thing's peachy' attitude. likes talking and singing. loves music. daydreamer. easily distracted. Hates not being trusted. BIG imagination. loves to be loved. hates studying. in need of 'that someone'. longs for freedom. rebellious when withheld or restricted. lives by 'no pain no gain' caring. always a suspect. playful. mysterious. 'charming' or 'beautiful' to everyone. stubborn. curious. independent. strong willed. a fighter.



Nikiwa na muda nitatizama personality types kama hizi alizoweka naimaomari kujifunza uhusiano wake na miezi watu walipozaliwa.


Kuna mtu ambaye nimemfahamu kwa muda mrefu, yeye alizaliwa mwezi wa nane, na maelezo hayo hapo juu yanamfanania kabisa. Kuna mtu anajua Richard wa BBAII alizaliwa mwezi gani? Yeye pia anaelekea ku-fit kwenye maelezo hayo.





Type Seven in Brief

Sevens are extroverted, optimistic, versatile, and spontaneous. Playful, high-spirited, and practical, they can also misapply their many talents, becoming over- extended, scattered, and undisciplined. They constantly seek new and exciting experiences, but can become distracted and exhausted by staying on the go. They typically have problems with impatience and impulsiveness. At their Best: they focus their talents on worthwhile goals, becoming appreciative, joyous, and satisfied.

Basic Fear: Of being deprived and in pain
Basic Desire: To be satisfied and content—to have their needs fulfilled

Mfano kutokuwa na financial discipline.


.
 
Ni rahisi ku-analyze types za wengine, kama ilivyo kuona makosa ya mwenzako :)


Kuhusu hizi types, kwa mujibu wa enneagram institute wame-group kila personality kwenye levels 3.

  • Healthy Levels
  • Average Levels
  • Unhealthy Levels


Kwenye post moja nilizungumzia "ni wakati gani kufikiria kurekebisha character".... ;)


.
 
Kwa hiyo tukitaka wenza watutumie cv kama MANKA???
AM APRIL BABY.....
and love the last sentence


Ni muhimu kuzifahamu hizi personality types japo sidhani kuna haja ya kufuata 'formulae' za kwenye vitabu unapotafuta mwenzi. Ajabu divorces hazipungui USA na Europe japo most of them have access to these information and many other things like marriage/relationship counselors etc.
Moja ya nchi zinazoongoza kwa talaka ni Cuba. Nasikia hawana dini huko (dini zilipigwa marufuku).


Your intuition is very much needed, and I do believe you can't easily go wrong. Kuna watu huwa wana maswali ambayo yanahitaji majibu during courtship, mfano "Kwa nini mimi nimekuwa na kawaida ya kupata/kufuata gf/bf wenye tabia zinazofanana? (say cheaters, abusers)". Ni vizuri kutafuta majibu kama una maswali yanayokusumbua.


You may use this Enneagram system jinsi unavyoona inafaa. Mimi huitumia kwa self-development kuelewa na kuweza kuwa-accommodate watu wa personality tofauti hasa zile zinazo kinzana na upeo wa fikra zangu.



.
 
Last edited:
mbona kama umesoma nusu nusu kuna descriptions like revengeful, fighter , rebellious, hard hearted, easily angered, love of aggressiveness etc etc

Hey miss Cleo....hata hizi ulizolist bado ni positive in a way. Lete zile cold attitude like mchoyo, kicheche, mwizi, kiruka njia, n.k...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom