Mkuu mh lema ni rais wa Arusha na ni kiboko wa ccm yoote kuanzia mkoa hadi taifaNaona Tanzania na dunia nzima inaaanza kumuelewa mh Lema . Watu walimsema sana lema Mara mabomu , maandamano ila sijaona yyte anayeiweza Ccm zaid ya lema .
Umeonaeeee lema ni jasir sana. Anajiamin . Ni mpambanaji. Mpenda hakiMkuu mh lema ni rais wa Arusha na ni kiboko wa ccm yoote kuanzia mkoa hadi taifa
Jamani huu Umeya imekuwa mchezo wa kuigiza? Kila kukicha umeya tukiamka umeya! Mwishowe naona sasa waziri wa Serikali za Mitaa ambaye ni Rais anaweza kuamua kutumia rungu kama alilotumia Sumaye miaka ileee tukaona Tume ya Keenja!Dar ndio moyo wa nchi, haiwezi kukaa miezi mingi hivi bila Meya. Tusubiri tu Tume
Mkuu mh lema ni zaidi ya wabunge 100 wa ccmUmeonaeeee lema ni jasir sana. Anajiamin . Ni mpambanaji. Mpenda haki
Halafu wajaze polisi, wanajeshi, vifaru, mawashawasha mitaa yote ili washindeKama CCM Wanaona, Hawataki Meya Wa Jiji La Dar, Atoke UKAWA Basi Waiagize NEC Ifute Matokeo Yote Ya Uchaguzi Na Watangaze Wa Marudio!!!!
Huku Arusha huwa tunamwombea: GOD Bless Lema.......na tunaitikia: Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!Mkuu Mh Lema ni zaidi ya wabunge 100 wa CCM
Hujatukanwa, vumilia ukweli ukuingie....Basi weye ni Mzungu mwenye asili ya Gorrila. Kwa sababu za hasira zako za ushabiki wa siasa unatutukana watu.
Kisa?
Mkuu lema kama ni ubunge aamue tu kuwachia ngazi,lkn kama anahitaji kuendelea nao basi atazeekea mjengoniHuku Arusha huwa tunamwombea: GOD Bless Lema.......na tunaitikia: Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!
Yaani wanakera sana hao viumbeCcm wenyewe ni mashetani
Mkuu wanaweza kuutwaa kwa maigizo Kama hayo ya kwenda mahakamani.... Wana laanaCCM waache sarakasi ni dhahiri umeya sio wao
Hivi kwani hakuna sheria za uchaguzi huu? Itakuaje kama watayumbishana mpaka uchaguzi mkuu ujao?Kuumbuka kupo palepale ni suala la muda tu, hii ni sawa na kudhani usiku utabaki milele kwamba hakuna mchana
Mkuu siasa za nchi hii za ajabu sana hata Hawa CCM nao wanaweweseka nini kwani idadi ya wapiga kura inajulikani nani Na Nani wanatakiwa kupiga kura.ukawa wanakomaa sana wapate umeya sijui wanataka kufanya nini yaani mpaka wanatishia amani ujue..