Ni vigumu sana kwa chama kilichozoea kushinda. kikakubali kushindwa. ccm inahubiri kuheshimu demokrasia lakini yenyewe haitaki kuiheshimu hiyo demokrasia.CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
Wataonyeshea wapi wakati mnatumia nguvu kubwa hata kama mmechokwa na wananchi
Hata Chadema huenda mahakamani kutafuta haki hivyo siyo jambo la ajabu kwa CCM kwenda mahakamani!CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
Mbona mumefanana in mapacha auMkuu Zombie Shangazi yako
MkuuMbona mumefanana in mapacha au
ya ndizi ,iliyopo mabiboWameenda Mahakama gani,
unaambiwa ni aibu ! kwa mujibu wa Waitara inasemekana kesi hii imefunguliwa na marais wastaafu , japo hawakutajwa majina , bali wametanguliza mbele maboya yao ( wasira style ) ,CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
BORA YA SHETANI kuliko CCM,hivyi mnayoyafanya kwenye uchaguzi wa meya jiji la Dar CCM kweli mnahofu ya Mungu kweli kabisa bora kumuombea shetani kuliko kuombea CCM na viongozi wake.
Duh, maelezo hayo yameningia mpaka kwenye misuli na mishipa ya fahamu.Bora hata wanyama wasio na demokrasia wanaheshimu utawala waliojiwekea kuliko hii ngozi nyeusi laana tupu!
Haki ya mungu ni bora hata nimuombee shetani kuliko hawa watu!!
Waliosema kwenye "human evolution" kuwa tumetokana na "chimpanzee" nakubaliana nao kabisa ila naona bado hatuja-develop(mentally) kiasi cha kutosha na ndio maana tuko hivi.
Naona Tanzania na dunia nzima inaaanza kumuelewa mh Lema . Watu walimsema sana lema Mara mabomu , maandamano ila sijaona yyte anayeiweza Ccm zaid ya lema .CCM imeenda tena mahakamani kuomba mahakama iruhusu wajumbe wake waruhusiwe kupiga kura ya kumchagua Meya wa Jiji.Wajumbe hao ni wale waliopigwa marufuku na msimamizi wa uchaguzi
Mkuuu wanawanyima wapinzan haki Yao wakiandamana kudai haki watasema wanafanya fujo jamanCcm wako tayari kwa lolote ili mradi upinzani usichukue hicho kiti cha umeya wa dsm maana bado wana muhitaji sana jk
Mkuu yaani naichukia ccm,kuliko hata njaaMkuuu wanawanyima wapinzan haki Yao wakiandamana kudai haki watasema wanafanya fujo jaman