ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.
Kipi wame copy mkuu
Ni kweli mkuu hasa kipindi cha michezo saa tatu usiku, unaweza kuhisi upo clouds kumbe upo ebon.ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.
Ni kweli mkuu hasa kipindi cha michezo saa tatu usiku, unaweza kuhisi upo clouds kumbe upo ebon.
Hahh watu tuache majungu Ebony fm wanajua saana asee
mara ya mwisho kusikiliza ilikua lin? Ebony kpnd ch michezo kinaanza saa mbil ucku
ni copy and paste ya clouds fm, niliisikiliza nilishangaa sana.
wanacopy hadi playlist.
Ni kweli mkuu hasa kipindi cha michezo saa tatu usiku, unaweza kuhisi upo clouds kumbe upo ebon.
Kiukweli wanajua sema watangazi wengi wali hama lakini sahiz watakuwa wanatamani kurudi akina bahati alex yupo capital,musa kawambwa cjui yupo redio gani,na wengine lakin Eddo ndo habari ya mjini wanajua hawa
musa kawambwa yupo Efm
E-FM ndo habar ya mjini,mastaa wote unaowafaham kutoka redio zote wapo E-FM.Sikiliza sport headcorter,uwakute wakina maulid kitende,mussa kawambwa,osca osca.njoo kwenye gurudum yupo swebe santana nunda rais wa waume,manganja mtoto wa kizaramo hajaoa ila anamke.ukija ubaoni utamkuta mtaala garder g habash,set bikira wa kisukuma.then,esport,utawakuta maulid wa kitenge,mussa kawambwa,oscar osca, ibrah masud maestro, omari katanga,yusuph mkule na wengneo.EFM INATISHA
Hii promo ya hatari, bilashaka aliyeandika huu uzi ni Eddo. Mi niliisikiliza sana hii redio kipindi niko Iringa nasoma Tosamaganga, iko poa sema mwanzoni nilihisi ni branch ya Clouds Fm maana ni copy & paste kuanzia vipindi hadi swaga za watangazaji hehe. Kama now mnasikika Dar na mnaendelea na swaga za kucopy mtachekesha raia, badilikeni aise!