Umewahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na Mchawi? ilikuwaje?

 
Aisee
 

Sa huyo mbona hakuwa mchawi mkuu.
 
Mkuu funguka kidogo hope tutajifunza kitu
Poa mkuu, nikipata wasaha ntaleta huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa japo utakuwa na codes nyingi kulinga wahusika lakini matukio yote ni kweli kabisa japo mtu anaweza kudhani ni chai. Hii itakuwa ni thread moja tu yaani mwanzo mpaka mwisho hakuna ishu ya itaendelea kwani visa siyo vingi
 
Sawa mkuu tunakaa hapa kukusubiri
 
 
Mkuu uchawi ni Roho.

Nje ya Roho, huwez kumjua hata avue nguo abaki uchi !!.

Ndio maana wachawi wanaenda kanisan na hawawi kitu


Huyo ni mwanakijiji aliyeamua kujilinda Kwa kuvaa hirizi, inawezekana kijijin kwenu ni huku Gamboshi au kibondo kigoma huko au sumbawanga
 
Ni Sumbawanga ndani ndani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…