Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

Mmoja wao yupo right na unajua hilo,mwombe msamaha kwakumficha ukweli maisha yaendelee huyo lulu mwambie asiejua maana haambiwi maana ajifunze
 
mwambie frank kuwa ni kweli ulijua ila hukupenda kuwa chanzo cha wenyewe kugombana huyo lulu muda ukifika atajua tu kuwa sio wewe uliyemwambia frank
 
Jaribu kuwapatanisha alafu mkanye kivuruge tabia yake sio nzuri au unamuogopa urafiki wenu anaefaidika ni wewe,yaani yeye ni slay anakuburuza.
Daaaah!!
Kivuruge sijui hata alipatwa na nini, hazikuwa tabia zake kabisa hizi. Kumkanya nilikanya sana ila ndio hivyo tena ni mtu mzima mwenye maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom