VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 786
Kwani kazi hazitafanyika mpaka tujue kiingereza?? kinachotakiwa ni viongozi wetu kusisitizia utaifa tu na kuweza kulinda maslahi ya raia wake kwenye ajira. Kuna nchi kibao hasa Nordic countries zinatumia lugha zao katika shughuli zote ikiwemo ajira na hulinda maslahi ya raia wao dhidi ya wageni. Hata kama ni kampuni ya kigeni imewekeza lugha inayoongelewa ni ya nchi husika. Na kama immigrants wakitaka kuajiriwa nchini kwao hata kwa position za maana husisitiza wajifunze lugha zao na si kiingereza. Hivyo ndugu hapa ni utaifa tu na sera za nchi yetu kuhusiana na namna inavyoweza kulinda masilahi ya wazawa dhidi ya immigrants.
Underestimate the importance of English at your own peril!!!!!!!!!!!!!!!