Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Yule binti alitumia nguvu kubwa sana kunishawishi, hadi nikahisi labda anataka kuniambukiza maradhi, Nilimpuuza sana, hadi akaanza kunitolea maneno ya dharau, ananiambia eti au we siyo mwanaume rijali,

Sikumwambia rafiki yangu kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu, jamaa hakujua wala kuhisi kinachoendelea,

Baada ya kuona dharau zimezidi nikaamua kumtolea uvivu, Nikamshghulikia kwelikweli, nikiapa itakuwa mara moja tu. Nb Tulicheki afya

Yule binti hakukoma kunisumbua, kwa bahati nzuri ilitokea nikahamia mkoa mwingine ndo ikawa mwisho .

Jamaa yangu tunawasiliana vizuri tu kama vile hakuna kilichotoea,

Wakati mwingine unaweza kutenda jambo bila kupenda.

Kwa upande wako umewahi kutoka na mpenzi wa rafiki yako? ilikuwaje, na uliwezaje kutoka kwenye huo mtego ukiwa salama?
Urijali wetu wanaume upo kwenye misimamo kutokubali kufanya jambo usilolitaka na sio kingine mkuu
 
Kama wameoana ndio kosa.
Ila kwa hawa wengine. Ni kawaida.

by the way hata mwanamke uliyenae sasahivi alikuwa na mwanaume kabla yako. Kinachotofautisha ni kuwa huyo mwanaume hakuwa rafik yako.
Huo UTOFAUTI Ndio Unatakiwa Kuuzingatia Na Kuuheshimu Haswa Kwenye Mlolongo Mzima Wa Maisha Yetu Ya Kila Siku.... UTOFAUTI Ndio Maana Halisi Ya MAISHA....Ndio Maana Halisi Ya Kuishi,,Kwa Kuheshimu Wengine Na Vingine....
​
 
Yule binti alitumia nguvu kubwa sana kunishawishi, hadi nikahisi labda anataka kuniambukiza maradhi, Nilimpuuza sana, hadi akaanza kunitolea maneno ya dharau, ananiambia eti au we siyo mwanaume rijali,

Sikumwambia rafiki yangu kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu, jamaa hakujua wala kuhisi kinachoendelea,

Baada ya kuona dharau zimezidi nikaamua kumtolea uvivu, Nikamshghulikia kwelikweli, nikiapa itakuwa mara moja tu. Nb Tulicheki afya

Yule binti hakukoma kunisumbua, kwa bahati nzuri ilitokea nikahamia mkoa mwingine ndo ikawa mwisho .

Jamaa yangu tunawasiliana vizuri tu kama vile hakuna kilichotoea,

Wakati mwingine unaweza kutenda jambo bila kupenda.

Kwa upande wako umewahi kutoka na mpenzi wa rafiki yako? ilikuwaje, na uliwezaje kutoka kwenye huo mtego ukiwa salama?
Jamaa yangu mmoja hv alikua ana demu wake lkn mke wa mtu bc mm na mshikaji tulikua tunawaita anakuja yule demu na rafiki yake ila demu wa mshikaji alikua mzuri hata kuhusu suala la kitandani alikua vizuri jamaa alikua ananisimulia bc siku jamaa akaenda likizo kwao mi akaniacha funguo ya ghetto lake mi nikakutana na yule manzi kumbe nae alizimika nami nilivyogusa tu akasema tupange siku.Mfukoni sikua vizuri ikabidi nimpigie mshikaji aniazime hela akaniazima halafu nikampanga demu tukaenda kulekule kwenye ghetto lake mshikaji nikamkunja yule demu kwenye ghetto lile na nilimpa hela aliyoniazima jamaa yake
 
Mie wenye tabia hizo nilipita nao wengi mno na kwakuwa walikuwa wanataka wao safari ya buza kwa mpalange tulienda sana.Yupo mmoja,ushemeji ulinoga sana na mara zote nilipokuwa safari ama kwenda nje kusoma nilikuwa naleta zawadi kwake,na kwa mumewe ambae ndie rafiki yangu.Walianza kugombana na mimi ndio nilikuwa msuluhishi,nilijitahidi sana kuleta amani kwao lakini wapi wao walizidi kugombana,basi kuna siku nilikuwa mwanza kwa dada yangu huyo mwanamke alinipigia simu kuwa anapita kwenda sengerema nikamuendea stendi nikampeleka hotelini,baadae jini nilimfata twende kwenye bia.Huyo mwanamke wala hakupepesa maneno aliniambia waziwazi shemeji leo ni lazima unile,basi tukayokabtikaenda muziki,nilimjulisha dada sitarudi home.Nilimla sana huyo shem sana,basi niliendelea kumla kwa muda baadae nilimuacha
Hatari sana
 
Back
Top Bottom