Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Ila sisi wanaume ni wabinafsi sana! Ingekuwa jamaa amekula rafiki wa girlfriend wake (shemeji wake wa kike) naamini angesifiwa humu.

Ila kwasababu Kala demu wa mshkaji wake eeeh anaitwa snitch nk nk! Waswahili hawakukosea “kunya anye kuku akinya bata aaahaaa ameharisha 😀)

NB: siungi mkono usaliti by the way .
Watu wanakuza mambo. Eti hutakiwi kuwa na mpenzi wa rafiki yako hata kama wameachana.

Yaani wanachukulia ni kosa kubwa utafikiri umeua mtu.

Mimi naona ni jambo dogo sana.
 
Watu wanakuza mambo. Eti hutakiwi kuwa na mpenzi wa rafiki yako hata kama wameachana.

Yaani wanachukulia ni kosa kubwa utafikiri umeua mtu.

Mimi naona ni jambo dogo sana.

Kama wameoana ndio kosa.
Ila kwa hawa wengine. Ni kawaida.

by the way hata mwanamke uliyenae sasahivi alikuwa na mwanaume kabla yako. Kinachotofautisha ni kuwa huyo mwanaume hakuwa rafik yako.
 
Yule binti alitumia nguvu kubwa sana kunishawishi, hadi nikahisi labda anataka kuniambukiza maradhi, Nilimpuuza sana, hadi akaanza kunitolea maneno ya dharau, ananiambia eti au we siyo mwanaume rijali,

Sikumwambia rafiki yangu kwa kuogopa kuvunja urafiki wetu, jamaa hakujua wala kuhisi kinachoendelea,

Baada ya kuona dharau zimezidi nikaamua kumtolea uvivu, Nikamshghulikia kwelikweli, nikiapa itakuwa mara moja tu. Nb Tulicheki afya

Yule binti hakukoma kunisumbua, kwa bahati nzuri ilitokea nikahamia mkoa mwingine ndo ikawa mwisho .

Jamaa yangu tunawasiliana vizuri tu kama vile hakuna kilichotoea,

Wakati mwingine unaweza kutenda jambo bila kupenda.

Kwa upande wako umewahi kutoka na mpenzi wa rafiki yako? ilikuwaje, na uliwezaje kutoka kwenye huo mtego ukiwa salama?
Kwa hiyo Sisi tufanyeje?
 
Mie wenye tabia hizo nilipita nao wengi mno na kwakuwa walikuwa wanataka wao safari ya buza kwa mpalange tulienda sana.Yupo mmoja,ushemeji ulinoga sana na mara zote nilipokuwa safari ama kwenda nje kusoma nilikuwa naleta zawadi kwake,na kwa mumewe ambae ndie rafiki yangu.Walianza kugombana na mimi ndio nilikuwa msuluhishi,nilijitahidi sana kuleta amani kwao lakini wapi wao walizidi kugombana,basi kuna siku nilikuwa mwanza kwa dada yangu huyo mwanamke alinipigia simu kuwa anapita kwenda sengerema nikamuendea stendi nikampeleka hotelini,baadae jioni nilimfata twende kwenye bia.Huyo mwanamke wala hakupepesa maneno aliniambia waziwazi shemeji leo ni lazima unile,basi tukatoka tukaenda muziki,nilimjulisha dada sitarudi home.Nilimla sana huyo shem sana,basi niliendelea kumla kwa muda baadae nilimuacha
 
Back
Top Bottom