Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Iambie akili yako, " umenidanganya"!
Nisipoiambia inakuaje babu
Tuliaaa
Wow 45
Sina experience ya huo umri ila nadhani ni mzuri sana
 
Shukran mkuu kwa fact
Karibu tena πŸ™πŸ™
 
Nimesoma robo ya post then nikashuka chini kuitafuta hiyo NBπŸ˜‚

Nisingeikuta ningekukumbusha kiungwana kabisa kumu acknowledge mzee mnemba
 
Nisipoiambia inakuaje babu
Tuliaaa

Wow 45
Sina experience ya huo umri ila nadhani ni mzuri sana
Yeah, ukifika huo uzee wa 45 utajionea. Ninachoona ni muhimu kufanya as we're getting old ni kuhakikisha uzee unaandaliwa, walau kwa kiasi fulani. Kuzeeka ukiwa masikini ni hatari sana, yaani mtu yupo 75 na haelewi kabisa, nguvu hana, kai hwezi, pesa hana...ni heri kufa kuliko kuishi uzee wa taabu namna hiyo.

Kuna wazee wapo 70s na 80s na wanafurahia maisha, mzee anakwambia yupo sunset yrs lakini pesa inaingia, yupo well off. Nyie mlio vijana, hakikisheni walau kwa asilimia fulani mnaandaa uzee maana huwezi jua utapewa miaka mingapi duniani.
 
Shukran bro
Kwa kweli pesa na iheshimiwe na watu wote
 
Natamani nizeeke,niwaone wanangu wakiwa wakubwa.
Hiyo inatosha.

Kubadilika muonekano hakuniumizi Bali ndio uhalisia.siwezi kuukimbia.
Katika Kila siku ninayoivuka ni funzo na experience tosha ya Maisha
Mimi ni Mimi na hakuna kama Mimi,nimekuja Kwa kusudi duniani na uwepo huu ni baraka tosha kwangu.

Ningependa kufika uzeeni.
Maybe 70.
 
Nimesoma na nimeelewa nukta baada ya nukta Shukran babu πŸ™πŸ™
 
Natamani nizeeke,niwaone wanangu wakiwa wakubwa.
Hiyo inatosha.
Hili likatimie dear 😍
Kubadilika muonekano hakuniumizi Bali ndio uhalisia.siwezi kuukimbia.
Katika Kila siku ninayoivuka ni funzo na experience tosha ya Maisha
Mimi ni Mimi na hakuna kama Mimi,nimekuja Kwa kusudi duniani na uwepo huu ni baraka tosha kwangu.
Vizuri sana
Unakubali mwenyewe wala huji stress
Ningependa kufika uzeeni.
Maybe 70.
😍 utafika jitunze tu
 
Utaandaa vipi uzee wakati unapambania pesa ya kula?
 
39 na kuendelea huu umri mtamu sana
wakati niko early 30 nilianza kuogopa sana kuhusu uzee lakini kadri
ninavyoenda nagundua mambo mazuri zaidi.

Nikijiangalia kwenye kioo na umri wangu halisi ni vitu viwili tofauti, kiuhalisia mabadiliko yangu si makubwa sana, japo najiona mkubwa huwa nikikutana na watu wanaonifahamu huwa wananiuliza natumia nini au surgery.

skin care nilijaribu nikaona shida tu nimerudi kwenye kitu ambayo nilikuwa natumia.

nina mvi mbili upande wa kulia sasa sijui zitaongeza au la.

Staki uzee wa magonjwa nilishakataa kabisa, na wanangu nilishawambia ikitokea nimepata ugonjwa au tatizo ambalo litahitaji uangalizi au usumbufu kwao basi waangalie namna ya kuniua! kama ni sindano wanichome nife
 
Mda wa kuishi mwanadamu ni mchache sana.

Nakumbuka jana tu nilikua a boy with a lot of dreams, nikifikiri nina muda mwingi wa kufanya kila kitu.

But in the blink of an eye I'm left with just 3 years before stepping into the 4th floor of life and sometimes I wonder where all the time went.


Mda unaenda, unapoteza company, real connections zinapotea, watu unaowazoea wanakua strangers.

Mwisho wa siku unatakiwa ubaki wewe kama wewe.

Kuna kipindi unafika una realize kwamba not everyone you started with will be there until the end.


Na kuna siku itafika watoto wako watakua, watajitegemea, wataanzisha maisha yao na kuondoka nyumbani kufuata dreams zao.

Then tabaki wewe kama wewe, kwenye nyumba ambayo zamani ilikua na sauti za watu unaowapenda, lakini sasa imebaki silence na memories za maisha uliyowahi kuishi.


Na kuna mda mpaka nnawaza kwamba soon tu ntakuwa sipo kwenye hii dunia πŸ˜„.

Tuache majivuno jamani... we all gonna die
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…