Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Kwa age yako hiyo wa 18 unatafuna fresh kabisa?
Unauliza hirizi Tanga? Mimi ni yule mwanaume nisiyevuta sigara wala kutumia kilevi chochote, na sijawahi kutumia vitu hivyo. Nguvu yangu bado ni madhubuti. Sio za kubeba zege, ila kutafuna mashine ya age yoyote, haijawahi kuwa tatizo kwangu.
 
Mzee una tambo wewe ๐Ÿ˜น
 
Mzee kakomaa anataka kunitrendisha mitandaoni kwa kuua kisa utramu wa dada winga..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nyie huwa mnawatisha wazee waliotoka vijijini wakaja mjini na kuajiriwa. Sisi tuko humu humu mjini, tuna ujanja wa mjini hadi wa ughaibuni. Inshort hatubahatishi mambo haya.
 
Huyo tayari ameshaanza kuingia kwenye 18, aje akutane na watu tunaojua mapenzi ya mambele huko.
Eeh! Eeh! Penzi la mambele ndo likoje hilo?
We mzee muhuni muhuni unaonekana na umegoma kuzeeka..!! ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ