mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji almanusura atwae kombe! Na ndipo mshndi wa kwanza alipojitokeza na kuwafunika wote kwa kula ugali mkubwa na ugali mdogo kama mboga!
Aithee,mbona mmemtotha yule mpare aliyekula ugali kwa stori sa thamaki!
mkuu umeikosha roho yangu, huyo wa ugali mkubwa kwa ugali mdogo ni noma. Ila nitarudi baadae kidogo
ha ha ha ha poleDah!nimecheka hadi nimejikojolea.
ah haa haaa haaaa haaaaaaaaaaaaa...................u made my day mkuu