Umewahi kusikia hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kusikia hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Skp2ole, Jun 19, 2012.

 1. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  umewahi kusikia hii eti RAIS wa Tanzania alitembelea Uingereza wakiwa katika pitapita jioni akaona jengo kubwa tu ila haliwaki taa akauliza vp mbona pale hakuna umeme? [​IMG] akajibiwa pale ni ubalozi wa Tanzania. akawa kimya [​IMG]
  • :wink2:
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hawakulipa bili ya umeme nini?
   
Loading...