Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Duh hii inanikumbusha nilitoka doha qatar mpaka perth australia. Militumia masaa 11. Hapo no baada ya kutumia masaa 6 kukoka dar mpaka doha qatar. Amazing sana mkuu hii safari. Wew utakuwa ulitumia south africa airways
Nilitoka Zurich to Washington DC Massa 11
Nilitoka Zurich saa 5 asbh na kufika DC saa 9 mxhana wataalamu la longitude na latitude ndio watajua why masaa 11.
Kusafiri masafa marefu hayana raha bali ni karaha na mchoko
Safari yangu ndefu ilikuwa kutoka JED to DMK ilikuwa masaa 11 angani siwezi kuisahau hiyo safari maana unaangalia movie unalala unaamka unakula unalala ni tafrani tupu
Siku hizi ni lazima nipumzike sehemu nikiwa nasafiri hata kama kulala siku moja mji mwingine bora
Mh mjumbe, pamoja na kwamba nilisha kuahidi kuto kukuangusha..... Lakini kwa leo naona maji yamezidi unga, na huku Ushirombo ndege hakunaga....tehteehh
Mh mjumbe, pamoja na kwamba nilisha kuahidi kuto kukuangusha..... Lakini kwa leo naona maji yamezidi unga, na huku Ushirombo ndege hakunaga....tehteehh