haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,475
- 3,538
Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi.
Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi mimi hii ninafasi yangu. Dada kacheka kaondoka.
Next time tukakutana na nikaona amejaa na yuko serious, kama ni wewe ungefanyaje? Tukaanza gurudumu, penzi halifichiki, watu wakajua, kumbe jamaa ndio alikua anafatilia tu hajakubaliwa.
Bifu likaanza, kuna siku nusu nikatwe panga na yule jamaa, kilichonisaidia, alifaulu akaondoka kwenda shule, nikaachiw utawala, ila tangu pale hatukuwahi kua karibu tena, bifu hadi leo.
Ukiwa handsome, mambo ya kutakiwa na wanawake ni jambo la kawaida sana.

kusoma story za waja. Lol