you love her badly, ila unaona yuko juu ya viwango vyako kwa unaona hawezi kukubali.
Pole
face it!
Badala ya kuikubali hii hali na kutafuta justfication hapa jamvini kulinda huo udhaifu, ni bora kujitahidi kushindana na huo moyo wa 'chuki' zisizo na sababu. Ni vyema ukajaribu kujitahidi kujijengea ukaribu na hao unaowahisi kuwa huwapendi kwa kuwasalimia na kuwachukulia kama rafiki wa kawaida. Wafikirie mema badala ya kuhisi kuwa na wao wanakuchukia hiyo itakuongezea chuki zisizo na tija. Ni hali ambayo huwatokea baadhi ya watu. Hata hapa jamvini, kuna baadhi ya watu wenye hizo tabia na wengine hudiriki hata kuwachukia watu kwa username/ID zao tu au pengine hata wanavyotoa comments ....
Kuna mmoja aliwahi kunipm kunieleza hiki kitu, nilishangaa.
Si mara ya kwanza kusikia kwako nimesha sikia kwa msichana mwingine naye alisema vivyo hivyo kuwa ana mchukia msichana mwenzie toka alipo muona chuoni kwao na wako course tofauti! Kwa hiyo wewe ni msichana wa pili kumsikia!
Nili muuliza kama wamesha wai kuongea akasema ni mara moja tu walikutana kwenye folleni ya chakula na akanieleza ana sikia yule msichana yuko vizuri kichwani.
Akasema huwa hana story nae, kwakweli nilishangazwa!
Nilicho hisi mimi ni "inferiority complex"
kwako wewe na hisi unachukizwa na kitu katika maisha yake ndio inapelekea kujikuta hivyo!mfano life style na vitu vingine!
Lazima kuna kitu haukipend toka kwake,labda mwendo wake,dressing style au unamuona anajishaua.binafsi hunitokea pia kwa wanaume wanaovalia suruali makalioni na watu type ya kina wema.simjui hanijui ila namchukia.
kumchukia mtu? tena bila sababu?
utawa unahitaji maombi ya walaokole. hilo ni pepo mchafu
huyu ni kakangu, naomba usiwe unampa makavu bila gloves za boxing.
Nilikuwa nasaka lugha laini ya kumpa shua
mimi imewahi kunitokea...namchukia tu mwanamuziki Rihanna bila sababu![/QUOTE
Mimi kuna mwanamziki wa kike wa TZ namchukia vibaya sana tena bila sababu kabisa yaani nikisikia wimbo wake dahhh nabadili station kama ni TV or redio
mimi imewahi kunitokea...namchukia tu mwanamuziki Rihanna bila sababu![/QUOTE
Mimi kuna mwanamziki wa kike wa TZ namchukia vibaya sana tena bila sababu kabisa yaani nikisikia wimbo wake dahhh nabadili station kama ni TV or redio
nakupitia kesho tuende tukaombewe.
dada yangu king'ast nakuomba uwe mode wa uzi wangu huu,tofauti na hapo naweza kung'olewa macho.asante
ila na wewe chuki ya nini sasa? BAK best, plz muwekee wimbo kakangu ule wa hasira za nini?
Hasira za nini weeh baba.
Yule si wako,
nami si wangu.
Chuki ya nini kati yangu mimi na ww?