Umewahi kumchukia mtu bila sababu?

unamchukia sababu una mhisi vibaya
so hisia zako zikiwa wrong chuki itakwisha

Kweli mdau maana hata katika maisha ya kawaida tu kama umeingia sehemu kwa chuki na kumpinga mtu hata kama ataingea point huwezi kuzisikia kwa kuwa tayari ulikuwa umejiweka katika pozi la kupinga
 
Kwa swala la wewe kuwa na pepo au mchawi kwangu naona halina ukweli kabisa kwani hiyo hali ni kasoro tu za kibinadamu na ni sawa na mood tu, kuna mtu anaweza akajikuta ana nuna nuna bila sababu.

Mfano kuna watu wana weza kukwambia leo tangia hasubuhi nasikia nina hasira sana ukimuuliza ana sema ajui sababu.
dah! Nimependa hii pia,kuna coment kadhaa hapo juu zinasema kuwa kuna uwezekano wa mimi kuwa na pepo au mie mchawi hilo nalo unalizungumziaje?
 
Huu ni ukweli mtupu!

Kuna mjadala niliwahi kuusoma ktk mtandao mmoja ambao kwa sasa siukumbuki,mjadala huo uliwatenga watu ktk makundi mawili kundi moja lilikuwa linasema % kubwa ya binaadam wana u-chizi,kundi la 2. Lilisema % kubwa ya binaadamu hakuna mwehu,hata wale ambao tunawaona mitaani wakiwa wachafu na kuzungumza maneno ya ki wenda wazimu huku wamebeba makopo au taka-taka,kua kama kweli ni chizi hawezi akaumiza kichwa chake kuwaza,kuwa anapo patwa na njaa kwanza hutambua hiyo ni nini na nini tiba ya njaa 2 huamua kwenda sehemu kwa kutumia akili yake mpaka katika madampo ambapo pia akifika hapo huwezi mkuta anakula makopo ila atatafuta mpaka atapata chakula, hivyo basi mie kumchukia mtu bila sababu naweza nikawa sio chizi na pia naweza kuwa chizi kulingana majibu ambayo naendelea kuyapata, ifahamike tena kuwa kuna kupenda na kuchukia kama alivyosema pakajimmy huko juu,hapana inawezekana hata nyie huwa mnachukia bila sababu kama ambavyo huwa mnapenda bila sababu.
 
Kwa swala la wewe kuwa na pepo au mchawi kwangu naona halina ukweli kabisa kwani hiyo hali ni kasoro tu za kibinadamu na ni sawa na mood tu, kuna mtu anaweza akajikuta ana nuna nuna bila sababu.

Mfano kuna watu wana weza kukwambia leo tangia hasubuhi nasikia nina hasira sana ukimuuliza ana sema ajui sababu.
asante mdau kwa utambuzi wako
 
Na mimi imenitokea na inaendelea kunitokea . . .namchukia mwanasiasa wa Tanzania Lazaro S. Nyalandu bila sababu yeyote ya msingi.

dah! Ila mie tena huwa nampenda sana huyo mshua,napenda misimamo yake,ama kweli ukisema we wanini wenzio nao wanasema sijui nitampata lini! Mzee majuto aliwahi kusema "natoa white naingiza white"
 
ila na wewe chuki ya nini sasa? BAK best, plz muwekee wimbo kakangu ule wa hasira za nini?

Hasira za nini weeh baba.
Yule si wako,
nami si wangu.
Chuki ya nini kati yangu mimi na ww?

haya banaa nitaacha hizo chuki,ningekuwa mwanamke ningesema nimembebea huyo,heheeee! Alooooh! Afu wimbo huo wa sina makosa nausubiri,embu mdipu tena huyo bwana mkubwa BAK
 
Last edited by a moderator:
Mie huwa nachukia tabia ya baadhi ya watu ila wao siwachukii ukizingatia nakuwa sina effect yeyote katika kuzirekebisha hizo tabia zao chafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom