Umewahi kumchukia mtu bila sababu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kumchukia mtu bila sababu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Slave, Oct 2, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,983
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika kama binadamu wote tuna tabia kama hizi nilizo nazo mie, hii kuna dada mmoja mzuri kwa sura,na hata muonekano wake kwa ujumla,huyu dada mie sijawahi kabisa hata kusalimiana nae,cha ajabu mie ninapo muona tu huwa nachukia sana imefikia muda sasa naanza kuamini wale wanatumiaga misemo ya "damu yangu haipatani nae" yaani huwa najisikia ovyo sana ninapo muona.hivi na wewe uliwahi kumchukia mtu bila sababu? Kama ni kweli je?ni kwanini?
   
 2. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,541
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Mmhh! Hii yako kali, unamchukia mpita njia? Hakujui humjui! Itakuwa unatatizo la kishirikina wewe si bure.
   
 3. T

  Tewe JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 704
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  wewe ni wale design ya wenye hamu na udongo/liamao/harufu ya kiatu ...... ? maana sometimes wanawachukia watu bila sababu. kama sio pole halafu jaribu kujirekebisha maana huna uwezo hata wa kutengeneza kucha ya mtu hivyo usichukie kazi za Mungu.
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,110
  Likes Received: 6,844
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Hio itakwa LOVE N HATE SITUATION!!!! We unajicomvise kuwa unamchukia yule dada, ila KIUNDANI unampendaaa sanaaa na unamkubali kinoma, n you are ashamed to accept that, maybe because UNAHISI HATOKUKUBALI. Na kumchukia mkwako unajiconsole kwa kuaccept defeat kabla ya kujaribu! La ajabu siku yule dada akiwa NICE kwako hate yote itakutoka!!!! LOL!
   
 5. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Utakua mchawi wa maendeleo ya mwenzakoo....
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,983
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  hapa nadhani inaweza kuwa 99%
   
 7. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni mwanaume inaonyesha una hisi ukimtongoza atakutolea nje

  Kam wewe ni mwanamke bs amekuzidi kwa kila kitu so unaomuonea wivu
   
 8. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Yamkini umepagawa na mapepo nenda ukaombewe
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,983
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  basi nadhani nitakuwa na zaidi ya tatizo,hah!hahah hapo kwenye "kumpenda" mh!! Sina uhakika kama hata siku moja inaweza kutokea,sie ni binaadamu
   
 10. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,983
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  dah! Na kama nikweli basi hili pepo ni katili zaidi ya lile li-makatta,asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 4,983
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  mie ni dume tena lililokamili,yaani mpango wa mie kumtokea au kuhisi kuwa nikimtokea atanikataa si kweli,ila naweza nikahisi kuwa pengine muonekano wake hasa mdomo wake ulivyo kaakaa ki-dharau dharau ndio kitu pengine kinachoweza kuniaminisha kuwa tabia yangu itakuwa inatokana na hivyo.
   
 12. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Badala ya kuikubali hii hali na kutafuta justfication hapa jamvini kulinda huo udhaifu, ni bora kujitahidi kushindana na huo moyo wa 'chuki' zisizo na sababu. Ni vyema ukajaribu kujitahidi kujijengea ukaribu na hao unaowahisi kuwa huwapendi kwa kuwasalimia na kuwachukulia kama rafiki wa kawaida. Wafikirie mema badala ya kuhisi kuwa na wao wanakuchukia hiyo itakuongezea chuki zisizo na tija. Ni hali ambayo huwatokea baadhi ya watu. Hata hapa jamvini, kuna baadhi ya watu wenye hizo tabia na wengine hudiriki hata kuwachukia watu kwa username/ID zao tu au pengine hata wanavyotoa comments ....
  Kuna mmoja aliwahi kunipm kunieleza hiki kitu, nilishangaa.
   
 13. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ukisikia roho mbaya ndo hiyo sasa
  Kifupi jombaa una roho mbaya!!!!
  Changanya miguu kwa mzee wa upako kwa msaada zaidi
   
 14. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,001
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  kujiita "slave" inamaana wewe ni mtumwa.. jaribu kufanyia maombi huenda ukawa unatumika! (just saying)
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  you love her badly, ila unaona yuko juu ya viwango vyako kwa unaona hawezi kukubali.

  Pole

  face it!
   
 16. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,289
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Haiwezekani na haitawezekana Kumchukia Mtu bila Sababu....Jichunguze inaonekana una matatizo ya kutokukubali hisia zako
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,544
  Trophy Points: 280
  unamchukia sababu una mhisi vibaya
  so hisia zako zikiwa wrong chuki itakwisha
   
 18. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,522
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  mimi imewahi kunitokea...namchukia tu mwanamuziki Rihanna bila sababu!
   
 19. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  You yourself feel inferior to her. Sasa hiyo ndio inaleta chuki ya ndani. Siku moja akikuchekea vyema na kukuweka karibu yake hutaamini namna utakavyoitafuta ile chuki yako usiione.
   
 20. b

  bagi JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 632
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  una mimba wewe
   
Loading...