Umewahi kumchukia mtu bila sababu?

Lazima kuna kitu haukipend toka kwake,labda mwendo wake,dressing style au unamuona anajishaua.binafsi hunitokea pia kwa wanaume wanaovalia suruali makalioni na watu type ya kina wema.simjui hanijui ila namchukia.
 
Si mara ya kwanza kusikia kwako nimesha sikia kwa msichana mwingine naye alisema vivyo hivyo kuwa ana mchukia msichana mwenzie toka alipo muona chuoni kwao na wako course tofauti! Kwa hiyo wewe ni msichana wa pili kumsikia!

Nili muuliza kama wamesha wai kuongea akasema ni mara moja tu walikutana kwenye folleni ya chakula na akanieleza ana sikia yule msichana yuko vizuri kichwani.
Akasema huwa hana story nae, kwakweli nilishangazwa!
Nilicho hisi mimi ni "inferiority complex"

kwako wewe na hisi unachukizwa na kitu katika maisha yake ndio inapelekea kujikuta hivyo!mfano life style na vitu vingine!
 
Badala ya kuikubali hii hali na kutafuta justfication hapa jamvini kulinda huo udhaifu, ni bora kujitahidi kushindana na huo moyo wa 'chuki' zisizo na sababu. Ni vyema ukajaribu kujitahidi kujijengea ukaribu na hao unaowahisi kuwa huwapendi kwa kuwasalimia na kuwachukulia kama rafiki wa kawaida. Wafikirie mema badala ya kuhisi kuwa na wao wanakuchukia hiyo itakuongezea chuki zisizo na tija. Ni hali ambayo huwatokea baadhi ya watu. Hata hapa jamvini, kuna baadhi ya watu wenye hizo tabia na wengine hudiriki hata kuwachukia watu kwa username/ID zao tu au pengine hata wanavyotoa comments ....
Kuna mmoja aliwahi kunipm kunieleza hiki kitu, nilishangaa.

mkuu nimekuelewa zaidi ya unavyozania,coment yako ina ukweli mtupu,nimefurahi kusikia kuwa nawe unaamini kuwa binaadamu anaweza kuwa katika hali hii,kitendo changu cha kueleza jamvini simaanishi kuwa nimeshindwa kuji control ila ni kuona tu kama ishu kama hii inaweza kumtokea mtu yyt,asante sana
 
Si mara ya kwanza kusikia kwako nimesha sikia kwa msichana mwingine naye alisema vivyo hivyo kuwa ana mchukia msichana mwenzie toka alipo muona chuoni kwao na wako course tofauti! Kwa hiyo wewe ni msichana wa pili kumsikia!

Nili muuliza kama wamesha wai kuongea akasema ni mara moja tu walikutana kwenye folleni ya chakula na akanieleza ana sikia yule msichana yuko vizuri kichwani.
Akasema huwa hana story nae, kwakweli nilishangazwa!
Nilicho hisi mimi ni "inferiority complex"

kwako wewe na hisi unachukizwa na kitu katika maisha yake ndio inapelekea kujikuta hivyo!mfano life style na vitu vingine!

dah! Nimependa hii pia,kuna coment kadhaa hapo juu zinasema kuwa kuna uwezekano wa mimi kuwa na pepo au mie mchawi hilo nalo unalizungumziaje?
 
Lazima kuna kitu haukipend toka kwake,labda mwendo wake,dressing style au unamuona anajishaua.binafsi hunitokea pia kwa wanaume wanaovalia suruali makalioni na watu type ya kina wema.simjui hanijui ila namchukia.

asante sana,kumbe tupo wengi.
 
There is a very thin invisible line between LOVE and HATE.

Siku ukikubaliwa nae utakuwa ka zezeta kwake.

hahahahaa na aishie huko huko,kamwe sinto mtongoza embu fafanua bro hapo kwenye dhambi,
 
kumchukia mtu? tena bila sababu?
utawa unahitaji maombi ya walaokole. hilo ni pepo mchafu

mbona ninae mchukia ni mmoja tu?pia nawezaje kuhakikisha kama kweli nina pepo ndio niende nikaombewe?maana naweza kwenda nikidhani pepo kumbe ni foolish age.
 
huyu ni kakangu, naomba usiwe unampa makavu bila gloves za boxing.
Nilikuwa nasaka lugha laini ya kumpa shua

dada yangu king'ast nakuomba uwe mode wa uzi wangu huu,tofauti na hapo naweza kung'olewa macho.asante
 
hadi kuja kushushia pumzi hapa unadhani mchezo.

Anamuwazaje?

Hata mie sipendi nikijisikia hivi kwa mtu.

huyu ni kakangu, naomba usiwe unampa makavu bila gloves za boxing.
Nilikuwa nasaka lugha laini ya kumpa shua
 
Kuna mjadala niliwahi kuusoma ktk mtandao mmoja ambao kwa sasa siukumbuki,mjadala huo uliwatenga watu ktk makundi mawili kundi moja lilikuwa linasema % kubwa ya binaadam wana u-chizi,kundi la 2. Lilisema % kubwa ya binaadamu hakuna mwehu,hata wale ambao tunawaona mitaani wakiwa wachafu na kuzungumza maneno ya ki wenda wazimu huku wamebeba makopo au taka-taka,kua kama kweli ni chizi hawezi akaumiza kichwa chake kuwaza,kuwa anapo patwa na njaa kwanza hutambua hiyo ni nini na nini tiba ya njaa 2 huamua kwenda sehemu kwa kutumia akili yake mpaka katika madampo ambapo pia akifika hapo huwezi mkuta anakula makopo ila atatafuta mpaka atapata chakula, hivyo basi mie kumchukia mtu bila sababu naweza nikawa sio chizi na pia naweza kuwa chizi kulingana majibu ambayo naendelea kuyapata, ifahamike tena kuwa kuna kupenda na kuchukia kama alivyosema pakajimmy huko juu,hapana inawezekana hata nyie huwa mnachukia bila sababu kama ambavyo huwa mnapenda bila sababu.
 
dada yangu king'ast nakuomba uwe mode wa uzi wangu huu,tofauti na hapo naweza kung'olewa macho.asante

ila na wewe chuki ya nini sasa? BAK best, plz muwekee wimbo kakangu ule wa hasira za nini?

Hasira za nini weeh baba.
Yule si wako,
nami si wangu.
Chuki ya nini kati yangu mimi na ww?
 
Last edited by a moderator:
chuki inakuja pale moyo umeshamfanya wake
halafu mwili hauwezi mfanya wake.

ila na wewe chuki ya nini sasa? BAK best, plz muwekee wimbo kakangu ule wa hasira za nini?

Hasira za nini weeh baba.
Yule si wako,
nami si wangu.
Chuki ya nini kati yangu mimi na ww?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom