Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 364
- 735
Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa
Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena
Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia
Na je ulichukua hatua gani
Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena
Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia
Na je ulichukua hatua gani