Hhhhhhh[emoji23][emoji23]Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii kibokoHiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
😊Aisee nmecheka balaaaaa
Tena ya saa 8 mchana
HahaaaaaMimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
Dah, nimecheka sana.Nlmtumia mzee
Karibu Kula baby
Anyway sitaki kukumbuka Ila ndo Mara yangu ya mwisho Kula na dingi [emoji16]