Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
😂😂 Alikuwa msukuma wa wapi Huyo..?
 
Umenikumbusha kitambo sana... nlipataga mtoto flan... sasa akawa anaulizia sana familia yangu.. akataka kumjua dada angu... nikaona sio kesi... kuna dem mwingine mshkaj wangu nikampanga...

Tatizo likaja kwe kutuma sms... nikiwa nampanga uyu mshkaj wangu ile msg nikajisahau nikamtumie yule manz.... daah... nlitamani kuidaka asee..
 
[emoji23][emoji23]

Picha likaungua mazima sio mkuu!
 
Duuh!!! Mimi ilikuwa tofauti kidogo na .message, Mimi nilipiga simu kwa wife nikiwa na mchepuko kwenye gari pakiwa pametulia tena nimeshagonga kimoko, sasa balaa likaja nikajua nimekata simu kumbe bado nimepata aisee Nilikuwa nafunguka mbaya kumbe wife anarecodi yote.
Niliporudi home nilikoma, ila Nilikuwa mbali balaa.
 
Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani tukio kama langu huwa nikikumbuka najisikia vibaya mno
 
Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Hataree
tapatalk_1603555232674.jpeg
 
Afu i
Mimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
Afu ikawaje mkuu
 
shetani bana,anakuchochea utume halafu anamchochea mtumiwaji achukie
 
Wasiwasi wangu mkubwa sana ilikua ni kwamba yule maza atakuja kukisanua kwa wife. Niliishi kwa hofu sana mwanzoni ila ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijasikia chochote. Mungu ambariki sana huyu mama.
Ulipaswa kujieleza wake na kuomba msamaha, la sivyo atadhani ulimtumia yeye kumwoshesha unamhusudu japo ni mamam yako mdogo. Angalia usikute siku moja na yeye anakutumia kukuonyesha greenlight!
 
Back
Top Bottom