Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

Ni juzi hapa nimetoka mizunguko yangu kama kawaida nikawa nachart chart na mtoto mzuri ili angalau aje jioni hiyo tupashe kidogo,basi wakati huo huo ikaingia sms ya mtumishi mmoja wa Mungu kanisalimu nami nikamjibu vizuri tu,sasa kumbe nimemtumia ile sms ya binti yeye,na ilikuwa mbayaa mno imejaa matusi!!walah nilitoka mpaka nje nijaribu kama ntaweza kuizuia lakini wapiiii!!na yeye hajanitafuta mpaka leo,na vile ninavyojulikana ni mtakatifu,sitaki hata kuonana nae!

Kisa kingine,hiyo nilikuwa nchart na jamaa yangu tunafanya kazi pamoja,sasa tulikuwa tunachart ishu za kazini tukimpaka boss wetu ambae ni mwanamke!basi bhana bila kutegemea shetani nae sijui huwa hana kazi za kufanya[emoji22]si nikajisahau kwenye kureply si nikaisend kwa boss badala ya kuituma kwa jamaa!!siwez kusahau siku ile yaani njaa na tumbo la kuhara vilinikamata kwa mpigo!!japo yaliisha ila du!sitaki kumbuka!!
Vipi wewe ilikuwaje?
Shule za kata ziangaliwe upya. Walimu waangaliwe upya na hawa wanafunzi wa kidato cha pili nao wawe wanachujwa. Kuchart ndo nini?
 
Ngoja niwafundishe ukitaka usichanganye meseji kama unachat na watu wengi kwa kutumia smart phone kila unapoijibu meseji ya muhisa basi iweke ARCHIEVE yan ukiweka ARCHIEVE inapotea pale kwny chat mpaka yeye au wewe atume tena so risk ya kuchagua chat ambayo haihusiki inakua ndogo
 
Mimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilishatuma picha zangu za uchi kwa mama mdogo ambae tunaheshimiana vibaya sana! Nilikua nachati na mchepuko whatsap nikiwa naelekea bafuni kuoga, mchepuko ukaniambia hebu nikuone. Wakati huo huo mamdogo alikua kanitumia msg kuulizia maendeleo ya nyumba yake ambayo nilikua namsaidia kusimamia. Sijui ni shetani gani aliingia hapo kati nikajikuta zile picha nimetuma kwake tena na maneno ya kimahaba juu. Katika kupaniki badala ya kusema delete to all nikajikuta nime delete kwangu tu.
balaaa[emoji23][emoji23]
 
Nlmtumia mzee

Karibu Kula baby

Anyway sitaki kukumbuka Ila ndo Mara yangu ya mwisho Kula na dingi [emoji16]
Kuna siku nilikuwa namtumia mdau mmoja wa jf picha yangu PM, picha ya kawaida tu. ..nikakosea nikaituma kwenye uzi wa kupeana likes aisee nilipanic nikawahi kudelete comment, ilikuwa bahati ni kitendo cha fasta hakuna aliyeiona.
Ila cha moto nilikiona ilikuwa bado kidogo nijinyee
 
Mimi nilimsevu demu jina baya kutokana na usumbufu na kero zake, sasa siku moja nimemtumia nyimbo zinachelewa kufika mtandao unasumbua.

Wakati anaendelea kulalamika mbona simtumii, ikabidi ni-screenshot nimuonyeshe nyimbo zinakuja tatizo ni network. Bila kujua akapokea picha ya screenshot na jina lake[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha haaa ikawaje?
Kuna siku nilienda sehemu kumtafuta Mr..tulipanga kukutana hapo, nilivyofika simu yangu ikawa imezima charge so nikamuomba huyo mjamaa alikuwa muosha magari anipe simu yake nitumie kumpigia. Akatafuta jina kwenye phone book akapiga ilivyoita akanipa nikaongea nae, ile namaliza nataka kukata nikaona jina alilomsave Mr... "Mzushi". [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi leo sijamwambia kitu maana naelewa reaction yake itakavyokuwa
 
Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Nimecheka kifwaaaaala😁😁
 
Kitambo hicho kidgo tunatumia visimu vidgo plus wazaz hawataki umiliki simu wakiamin ni uhuni na unaweza kujihusisha na mambo ya ajabu

Nachat na mshikaji kuhusu dem aliyemfutialia kwa kipindi kirefu mara paap text ya Mshua "kazi niliyokupa umemaliza" na nyingine kutoka kwa mdau "oyaa yule demu kakubali ila kwa mbinde mnoo"

Kiwewe cha kujibu namtumia mshua text " Msnge msumbufu ww" na mshikaji namtumia " ndio nimemaliza"

Zile ndo zilikuwa text zangu za mwisho kumilik simu ile niliyopewa
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hadi mtoto ananishangaa hapa
 
SMS ya "sangoma " wangu ikaenda kwa baba paroko. Yule kuku mweusi nimempata nimlete lini kilingeni?
 
Kuna siku nilikuwa namtumia mdau mmoja wa jf picha yangu PM, picha ya kawaida tu. ..nikakosea nikaituma kwenye uzi wa kupeana likes aisee nilipanic nikawahi kudelete comment, ilikuwa bahati ni kitendo cha fasta hakuna aliyeiona.
Ila cha moto nilikiona ilikuwa bado kidogo nijinyee
Nimeikimbuka aseeee
 
Hiyo ya picha nakumbuka miaka hiyoo whatsapp bado,tunachat tu facebook,kuna binti alikuwa anasoma Arusha,hatujawahi kuonana ila kama ujuavyo mambo ya fb mnakuwa wapenzi bila hata kujuana!basi nkamuomba bi dada anitumie jitumbua!bhana weee!dada hajui namna ya kuituma inbox,si akaiweka pale kwenye wall yake!!!mi niingie nichek,nakuta kitu kiko public!!nikampigia chap!dada hajui kufuta!eti akalog out kwamba hawataona[emoji23]!yaan na mapenz yalikufa siku ile ile!!
Hahahahaha
 
Mie kuna mtu tulikuwa tumpanga kumtapeli. Mimi na ndugu yangu kuna tuna chart Mimi na ndugu na jamaa. Si nikajichanganya ule mpango wote namwelekeza ndugu. Kutuma si nikatuma kwa mjamaa
Kinachotokea huwa ni ubongo unakupeleka kule kule unakofikiria. Mfano simu ikiwa Lock, unaweza kuwaza kuna ujumbe fulani unataka kumtumia mtu, mara nyingi kile unachofikiria utaanza kuandika kwenye keyboard ya simu wakati ndo kwanza simu hujaitoa lock, ukistuka unajishangaa.
 
Jamaa kakosea baada ya kutuma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema
"MIMI NAKUPENDA SANA, NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZI, MKE WANGU HAWEZI KUJUA"
Wakati anatafakari atafanyaje likaja jibu kutoka kwa mama mkwe:
"NAMI NAKUPENDA PIA UNGECHELEWA NINGEKWAMBIA MIMI MAANA HUWA UKIWA NA BINTI YANGU MIMI NDIO NADATA,
MPENZI LEO USIKU UJE"
Unadhani jamaa alichukua uamuzi gani? JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
 
Mimi nilimsevu demu jina baya kutokana na usumbufu na kero zake, sasa siku moja nimemtumia nyimbo zinachelewa kufika mtandao unasumbua.

Wakati anaendelea kulalamika mbona simtumii, ikabidi ni-screenshot nimuonyeshe nyimbo zinakuja tatizo ni network. Bila kujua akapokea picha ya screenshot na jina lake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom