mgonga
Senior Member
- Oct 26, 2018
- 174
- 563
Ni juzi hapa nimetoka mizunguko yangu kama kawaida nikawa nachart chart na mtoto mzuri ili angalau aje jioni hiyo tupashe kidogo,basi wakati huo huo ikaingia sms ya mtumishi mmoja wa Mungu kanisalimu nami nikamjibu vizuri tu,sasa kumbe nimemtumia ile sms ya binti yeye,na ilikuwa mbayaa mno imejaa matusi!!walah nilitoka mpaka nje nijaribu kama ntaweza kuizuia lakini wapiiii!!na yeye hajanitafuta mpaka leo,na vile ninavyojulikana ni mtakatifu,sitaki hata kuonana nae!
Kisa kingine,hiyo nilikuwa nchart na jamaa yangu tunafanya kazi pamoja,sasa tulikuwa tunachart ishu za kazini tukimpaka boss wetu ambae ni mwanamke!basi bhana bila kutegemea shetani nae sijui huwa hana kazi za kufanya[emoji22]si nikajisahau kwenye kureply si nikaisend kwa boss badala ya kuituma kwa jamaa!!siwez kusahau siku ile yaani njaa na tumbo la kuhara vilinikamata kwa mpigo!!japo yaliisha ila du!sitaki kumbuka!!
Vipi wewe ilikuwaje?