Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
usikae mbali soon tunakuja na makala zitakazo toa majibu ya mada hiyo.Wenye akili kubwa ndio watakachangia apa [emoji122][emoji122]
Tunasubiriusikae mbali soon tunakuja na makala zitakazo toa majibu ya mada hiyo.
tupo kwa ajili yenu.Tunasubiri
Mabadiliko mbalimbali yaliyoikumba sayari yetu yangetosha kutengeneza mabuku makubwa jiographia na historia na kutoa elimu sahihi wapi tumetoka na wapi tunaelekea.
Na juu ya yote kwanini tuko hapa tulipo hapa sasa. Kinyume chake uongo, uzushi vimekuwa muhimili wa elimu yetu ya zama zote.
. tupo hapa kwasababu tupo hapa na hapa ndipo tupo panafaa tuwepo kwasababu tupo.
Kwa jibu jepesi Ni kuwa sijui ila tupo hapa kwasababu tupo hapa na panafaa tuwepo kwani tupo na panakizi mahitaji yetu ya sisi kuwepo.Kwanini hii kauli umeifanya kama sababu ? Maana ya sababu ni kuelezea chanzo au kujibu swali la kwanini baada ya la kwanza kuwepo,lakini kauli yako haija kidhi sifa hiyo,sasa kwanini uipe sifa ya sababu ? Hali ya kuwa haija jibu swali husika ?
Kwa jibu jepesi Ni kuwa sijui ila tupo hapa kwasababu tupo hapa na panafaa tuwepo kwani tupo na panakizi mahitaji yetu ya sisi kuwepo.
He he! Umenielewa sehemu moja ila bado hujaelewa kitu kidogo Sana Soma tena.Japo umekiri ila umerudia kile nilichokihoji hapo kabla.
Sababu umekiri hujui basi hata hiyo sababu hauko nayo yaani lazima ukosee.
He he! Umenielewa sehemu moja ila bado hujaelewa kitu kidogo Sana Soma tena.
ieleweke hivi tupo hapa kwasababu Kuna mazingira yanayotufanya/kutuwezesha sisi kuwepo hapa ila sijui kwanini tupo hapa kwasababu sijui lengo la alietuweka hapa au kilichotuweka hapa!Bila shaka utakuwa unafahamu japo kidogo Kiswahili cha waswahili,yaani wewe ni mswahili. Kauli inapingana na maana bali mjengeko wa sentensi yako kiuchambuzi,yaani "Unasadikisha kwa upande wa kwanza ila unakanusha kwa upande wa unaofata".
Ulipokiri ya kuwa hujui,basi jibu hili lilifunga na kuonyesha hiko cha mbele hutapatia,yaani hutoki katika makosa na uongo,kauli yako ni sawa sawa na mtu yule asemaye/asemae "Mimi sijui lakini kitu lakini hunidanganyi" kauli haisemi isipokuwa mjinga,sababu amekiri kwanza na akakanusha kwa kujitoa katika kauli yake mwenyewe. Kwa maana hajui na kudanganywa atadanganywa tu sababu hajui,kwahiyo kauli yako hiyo iko kama hii na hii inaishia au inakuwa kama kinogesho au kipashio tu katila mazungumzo na kuchangamsha soga ili muda uende,ila kiuhalisia haina maana yoyote.
Uongo, uzushi wa elimu ni upi?Mabadiliko mbalimbali yaliyoikumba sayari yetu yangetosha kutengeneza mabuku makubwa jiographia na historia na kutoa elimu sahihi wapi tumetoka na wapi tunaelekea.
Na juu ya yote kwanini tuko hapa tulipo hapa sasa. Kinyume chake uongo, uzushi vimekuwa muhimili wa elimu yetu ya zama zote.
ieleweke hivi tupo hapa kwasababu Kuna mazingira yanayotufanya/kutuwezesha sisi kuwepo hapa ila sijui kwanini tupo hapa kwasababu sijui lengo la alietuweka hapa au kilichotuweka hapa!
Napo haujaelewa..?