Umewahi Kujiuliza Haya Maswali......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi Kujiuliza Haya Maswali......?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtoboasiri, Aug 4, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  1. Karibu watu wote huwa tunakunywa maziwa; hivi mtu wa kwanza alifikwa na nini hadi akaamua: "Ngoja nikamue chuchu za huyu ng'ombe na ninywe kitakachotoka"?

  2. Mtu wa kwanza aliewaza: "Hiki kitu cha mviringo kilichomtoka huyu ndege nikikikaanga au nikakichemsha nitakila" alifikwa na nini nae?

  Au ndio maana kuna watu wanafanya vitu ambavyo wala wengine wasingeweza kuvifikiria? Kwa mfano nimesikia eti ukioshea nywele zako kwa bia zina-retain naturality yake! Who would have guessed that?
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,311
  Trophy Points: 280
  Ukiwaza sana unaeza pasuka kichwa..let them be mbe!
   
 3. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  maswali lukukiiiiiii mbona zaid ya haya mi huwa najiulizagaaa weeee mpaka nasema hapana ngoja niache tuu .
   
 4. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Najiuliza hivi ulifikiria nini kuanzisha hii post?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Nami najiuliza kwanini umemuuliza mtoa mada badala ya kumjibu maswali yake ya kuulizauliza maziwa na mayai.
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Umeshawahi kujiuliza hv ni kwa nini ukitafuna karanga mbichi unaongeza 'vitamini'?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  We ulishajiuliza uhusiano wa pweza na nguvu za kiume?
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Duuuuuuuh! Sikuwai kufikiri kama unge taka kutoboa siri
   
 9. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama mie nnavojiuliza kwa nn mtoto akinyonya chuchu poa tu, ila akizinyonya chuchu hzo hzo kidume lol........
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Hata mimi najiulza ssababu za ww kumpa mwenzio jibu hilo
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  kujiuliza sana kwa nini mwisho wake unaishia kudata tu...kuna mama mmoja alikua anajiuliza hivi kwa nini watu 22 katika mchezo wa soka, wanagombania kampira kamoja tu ili wakatumbukize kwenye nyavu...mwisho wa siku akahitimisha kuwa wachezaji hawana vitu vya maana vya kufanya na ndio maana wanacheza huo mchezo
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ushawahi kujiuliza kwann mtu aku-poo anaenjoy sanaaaaaaa??? lol na mfyonzo je??? mtu wa kwanza kugundua mfyonzo alisikiaje??
   
 13. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ushawahi kujiuliza hivi uliwezaje kukaa tumboni mwa mama yako kwa muda wa miezi 9,afu ukazaliwa na wakati ulipokuwa mdogo alikuwa anakutawaza anakuangalia maumbile yako hasa wanaume wakati umetahiriwa!!!!!!
   
 14. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Na hii leo mamako akikuambia hebu niangalie dondo kwenye dudu unakataa huwa najiuliza sana kwa nini wazazi wetu walikuwa wanatuchapa tukisex na vitoto vyenzetu najiulizaga wangetuacha tungeexpiarance mpaka sasa tumgeacha kama tulivyoacha michezo mingine ya kitoto mf. kombolela,kukimbizana na mingineyo huwa najiuliza xana
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ukisikia uchokozi ndio huu!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mwisho wa yote ni aliyegundua pilipili sijui alifikiria nini..........
   
 17. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Nami najiuliza kwa nini huo mchezo unaung'ang'ania, ................... na usiuache kama ulivyoacha Kombolela,kukimbizana na mingineyo!!!??
   
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mmmh!tumwachie GOD
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Maelezo si yapo kwenye thread mkuu? Nimejikuta najiuliza pale niliposikia habari ya bia kutumika kuoshea nywele!
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Bila shaka wewe una uhusiano fulani na juisi ya ngano!
   
Loading...