Umewahi kuishi na Mwanamke mjuaji?

Umewahi kuishi na Mwanamke mjuaji?

Yani nikajua labda mke kumbe bado mpo chuo bro haya maneno utayakumbuka badae, Chuo mapenzi ya kweli ni 14%tu zilizobaki ni utapeli
 
Aijawa official kwamba ni mke wangu but goal etu ni hiyo tuna 4yrs now....ila tumeish pa1 ka miez mi 2

Haya mapenzi ya sasa na ww unahesabu miaka minne4 😁 unakuta una miaka nae minne kuna mwenzako anae miaka 3 mwngne mwaka mmoja 😁
 
Yamekua hayo tena mkuu[emoji3][emoji3]mbona mi hata sijui vitu vingi, huo ujuaji umenidefine vipi [emoji2960]
Aina ya maswali uliouliza yamekaa kiujuaji juaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi naishi nae mkuu....nmeanza kulionea huruma boom langu kumhudumia pia...ijapo ananipenda
Dogo fala Sana hela yako ungeifanyia cha maana boom ni la mtu mmoja we unalisha mwanamke ambae mki graduate na mapenz kushneyii

Yaani elimu yako haijakusaidia chochote

Ishi nae ukiwa kitaa unajitegemea sio ghetto ukiwa unategemea boom
 
Oa bikra,
Hakuna Bikra Mjuaji,

Wajuaji ni hawa makurumbembe wanaojua kila size ya uboooo.
 
Kitu chochote kikishazidi kiasi kinakuwa sumu, maamuzi ni juu yako mwenyewe uamue kusuka au kunyoa.
 
Back
Top Bottom