Umewahi kuingilia ugomvi usiokuhusu halafu yakakukuta makubwa?

Huu uzi unachekesha balaaa yani uzidi kusonga ili tuzidi kuburudika na kujifunza kutoingilia ugonvi usiotuhusu
 
Nakushauri usiwe mvivu kukimbia ukiona unga unazidi maji. Halafu Namanga pale sehemu rahisi kimbilia kituo cha Oysterbay
Hahaha ujue siku zote nakuvutia picha we jamaa utakuwa mtu wa namna gani!?
 
Nakushauri usiwe mvivu kukimbia ukiona unga unazidi maji. Halafu Namanga pale sehemu rahisi kimbilia kituo cha Oysterbay
Kama ulijua vile jamaa tumekubaliana tukutane pale posta Namanga, nikila makonde mawili matatu mazito nazama ndani ya posta kama hana mbio nakula riadha mpk kituo cha Oysterbay hahaha
 
Yaani ukifika kituoni shusha kilio kikubwa halafu kila unapoguswa anza kulia
 
Hahaha na nilivo la lisauti libaya alafu kubwa na machozi ya kumiminika ni hatari lzm waite ambulance wallah!!! Hahaha
 
Back
Top Bottom