Umewahi kuibiwa gari?

Jamani nyi acheni yasije kuwakuta, july 20 mwaka huu baada ya kujibana sana nikaamua niingie ulimwengu wa blackberry, nimetoka kununua pale sapna nikaiweka kwenye gari na kuondoka mpaka kitega uchumi kumchek jamaa yangu ofisin kwake, ile narudi nikakuta kioo kimenyofolewa cha kushoto siti ya nyma na milango ikatolewa lock, jamaa walichukua simu mpya kwenye box, laptop mbil, binafsi na ya ofis na vitu vingine vidogovidogo, yaan nilikuwa kama nimedata, ikabid nitafutiwe dereva wa kunirudisha home maana ningegonga, chakula kilikuwa hakipiti, na hata job sikwenda karibu wiki, jamani haya mambo yasikie kwa mwenzako yakikukuta ni balaa, hadi niliwaza kwa nini nimemtembelea jamaa ofisin
 
Jamaa aliibiwa gari kutoka nje alipoona gari halipo akaanza kujisachi mfukoni...

Hiyo si utani naweza kuamini kabisa kwani mimi nilikuwa naitafuta kwenye handbag, kwenye sidiria, wee wacha tu. Lakini, "halalan twayiban" vya halali vitamu, AlhamduliLllah haikupita siku tatu gari yangu ikarudi. Wanangu mpaka leo wananifanyia mzaha, "mama gari unaitafuta kwenye handbag".
 
Yes,OTIS, namshukuru mungu kwa sasa nimekua,
Wakati ule ilikuwa 2002 na sasa 2012,
Ila inapokuja ishu ya kuibiwa gari mmmh!hapo hakuna cha utoto wala ukubwa!

Ni jambo jema kama umekua.
Siku nyingi zimepita sasa.
La kuibiwa gari yoyote anaweza mwaga chozi.
OTIS
 
poleni wote. aliyeiba ndo zaidi.
Huyo alikuwa Anaiba gari la Babake kwenda nalo Club hata Sie Tumefanya Sana Hadi Tukawa Tunaachiwa Funguo Ili Tusiibe haha... Ilikuwa kabla ya Kuliiba mnalisukuma hadi Nje ya Gate Mnaliwashia barabarani kabisa asije amka then hivyo hivyo wakati wa kurejea alfajili, Mnapima mafuta yaliishia wapi mnajazia tukikosea tu inakula kwetu
 
ulikuwa kidato cha ngapi?
 
Unafanya mchezo na kufaulu kwenda 4m five!
Yani ilikuwa ndio zawadi baba alinihadi so nipofaulu tu mzee wangu akanikabidhi lol!
Aalafu hata sijafika shulen kwenyewe wakaniibia weeeeeee!
Mbona nilipagawa nikafunga safari!

hahahah we noma aisee!!
 
Gari yangu ipo pekee Tanzania nzima (Ford Galaxy-2300), so nkiibiwa nitaipata tu.
 

Kariakoo shimon napaogopa. Nahisi hakuna hewa ya kutosha
 

Hukuvipata hadi leo hii?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…