Umewahi kuhonga/kuhongwa mpaka shing ngapi?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,823
Reaction score
140,862
Wakuu wa MMU ni vyema tukawekana sawa.Kuna watu tumekuwa mabahili sana kwa mabinti.Tukiwa na appointment yeye atatoa hela ya chakula,mimi nitalipa gest.nauli ni kujitegemea.Hakuna kuja na timu ya mashoga!Pengine ninakosea,na nipate uzoefu kwenu.Wenzangu mnahonga au kuhongwa mpaka shng ngapi?
 
Wewe unasema kuhongwa sh ngapi?
Mimi nilishahongwa kkuma kibao tu kitengo.
 
Pumzishen vichwa jaman mcje mkatapika lupita nyong'o
 
Chei chei shangazi lakini kabla ujaondoka adisi yako inatufundisha nini.Nimesachi gugo nimeshindwa kuelewa.labda katiba mpya itatueleza still booting...
 
mwenye chaja ya pini ndogo aniazime sasa hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…