Tatigha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,957
- 2,014
Sawa boss...! Hiyo inaitwaje?Ziko nyingi mkuu yangu nalipia 250,000 kwa mwaka
Sawa boss...! Hiyo inaitwaje?Ziko nyingi mkuu yangu nalipia 250,000 kwa mwaka
VIBAYA MNOUna kifua mkuu
Wanaume 6? Ulioa mke au changudoa?Siwezi jua, kwenye matumizi nina imani kila kitu nimetimiza tatizo labda kwenye 6 x 6
ila ninachojiuliza mpaka sasa wanaume ambao nimegundua anao ni 6 sasa hao wote
hakuna hata mmoja anayekidhi vigezo vyake?
unaweza usioe au ukaoa Demu flani wa kawaiiiiiiidaaaaaaa!!!!! HahaaaaaBinafsi najuta sana kufahamu maswala ya teknohama, maana ni mwaka wa pili huu sijaona mwanamke mkweli kila ninayempata nikimdukua nagundua kuwa sio mkweli, kwahyo nimeamua kutokuweka akili yangu kwa hawa viumbe..Kwa niyaonayo makazini kwa wake za watu hata hamu ya kuoa sina kabsa.
Ungepiga na vibao kabisaAISEE WANAWAKE HAWA ACHENI MI WANGU KILA MATUMIZI NAMPA CM NAMPIGIA KILA WAKATI KUMUONYESHA NIPO NAYE KARIBU WEEKEND TUNAENDA KUTEMBEA YAAN NIKASEMA HUYU MWANAMKE WA KUOA NI KA INSTALL SOFTWARE KWENYE CM YAKE NIJIRIDHISHE NILICHOKUTA HUMO TUPO WA NNE KUNA KIPINDI NIKTOKA NAE ANACHAT NAO MBELE YANGU MAANA SMS ZAKE ZILIKUWA ZINAINGIA KWEYE CM YANGU SIKU HIYO NIKAMUITA HOME KWANGU NIKAMUULIZA UNANIPENDA AKAJIBU NDIO WE NI MWANAUME WA KIPEKEE BLABLABLA KIBAO NIKA PLAY AUDIO ZOTE MBELE YAKE NIKAMUONYESHA NA SMS AKAANZA KULIA PALE NIKAMSHIKA MKONO IKAMWAMBIA NIMEKUSAMEHE ANAENDELEA KULIA CHINI KAMVUTA HADI NJE NIKAMTOA NDANI KWANGU NIKAFUNGA NYUMBA NIKARUDI ZANGU KAZIN TOKA SIKU HIYO MWANAMKE AKINIAMBIA ANAIPENDA HUWAGA NAANZAGA KUCHEKA
Labda nioe wa kawaida sana ila kichwani ziwemo..unaweza usioe au ukaoa Demu flani wa kawaiiiiiiidaaaaaaa!!!!! Hahaaaaa
Usije ukajinyonga au ukamuua mkeo,kama wewe ni gangster for real nishtueNIPENI MAUJANJA NA MIMI NIMDUKUE WANGU!
AhahaaNina audio za kutosha na picha za wapenzi wake nimeshazitengenezea fremu siku
ambayo nimepanga kumwacha atakuta nimezipamba ndani.
Ndo maana watu wanauanaHuu Uzi mwanzoni niliuona wa kawaida bt kadri ninavyosoma koment ndo natambua kweli ndoa zina mambo sana
Sasa sisi tufanye nini Tupac a.k.a Mc Newyork?Wanawake hawaaminiki ,ukiwa na girlfriend atakucheat,ukiwa na wife naye atakucheat.Nafikiri hawajui wanachokitaka katika mapenzi .
Enhee!! Ikawaje?Hahahaha hii imeniachanisha na manzi angu aliyekua anajifanya ananipenda kuliko maelezo
Hahaaaa!!!! Wapo wa hivyo ,aisee ndoa changamoto ndo maana watu wanauanaLabda nioe wa kawaida sana ila kichwani ziwemo..
Mm sitokuja kuumia kisa mwanamke msaliti namuacha aende, sabb wako wengiHahaaaa!!!! Wapo wa hivyo ,aisee ndoa changamoto ndo maana watu wanauana
Niko vizuri na pressure za kijinga nishaachaga long sana.Usije ukajinyonga au ukamuua mkeo,kama wewe ni gangster for real nishtue