Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

Acheni tu wanawake waitwe wanawake, natamani kuweka Audio ya maongezi
na michepuko yake lakini naona kama itakuwa udhalilishaji.

Nimeamua Kutafuta Mnyarwanda nipeni ushauri wadau.

SEHEMU YA MESEJI YAKE NA MMOJA WA MICHEPUKO.

(Ashakum si matusi kuna lugha kidogo si za kiungwana)

Baba K. Vipi huyo m.senge hajaondoka nina hamu ya kutomba mimi.
Mke wangu.Wee koma mume wangu usimwite mse.nge sio kwa kuwa
nakupa ndio umtukane mume kalipia mahali yule.
Baba K. Basi nisamehe lakini mwenzio nyege zimenizidia.
Mke wangu. Subiri aende Mpirani nitakupigia.
**********************************
Baba K. Vipi mbona Kimya?
Mke wangu. Leo ngumu kumbe mpira ulianza saa 11 tusubiri kesho nasikia ni
fainali labda itaanza usiku kama zile zingine si unajua akitoka saa 12 harudi mpaka
saa 5 usiku.
Mkuu
Mtafutie huyo jamaa vijana watano walioshiba ugali
 
Siwezi jua, kwenye matumizi nina imani kila kitu nimetimiza tatizo labda kwenye 6 x 6
ila ninachojiuliza mpaka sasa wanaume ambao nimegundua anao ni 6 sasa hao wote
hakuna hata mmoja anayekidhi vigezo vyake?

Duu Mkuu pole huyu hafugiki maana hap ishu sio kuridhishwa ameamua tu kikitembeza mtaani.
 
Masikitiko yangu mimi ni kwa wale wahenga wenzangu wanaooa dogodogo na mtaani kuna hawa young men wanaoanza maisha. Unakuta mhenga anahangaika nyumbani mambo yawe super mboga ni samaki, kuku maini au beef fillet.

Kijana anapakuliwa mapaja yote, mhenga aliyenunua anaishi a kula wings anapozewa na juice ya ukwaju.
ndo maana wale wazee wanajilipua tu
 
Sana nimekaa nje ya nchi natuma pesa kumbe mwenzangu amemkopesha
Mchepuko, mpaka leo naona wanadaiana tu 1.5 milion bado haijalipwa.
ndo maana wababu zetu walioa mke zaidi ya mmoja, kila mke na shamba lake na watoto zake,, babu anazunguka tu,, leo analala huku kesho kule,, anagombaniwa kama mpira wa kona,, Eti sisi tunataka mke mmoja,, HII AFRICA BWANA shauri yenu endeleeni na usasa wenu,,
 
Siwezi jua, kwenye matumizi nina imani kila kitu nimetimiza tatizo labda kwenye 6 x 6
ila ninachojiuliza mpaka sasa wanaume ambao nimegundua anao ni 6 sasa hao wote
hakuna hata mmoja anayekidhi vigezo vyake?
sita duu huyo wa kuacha tu basi kazoea ndo tabia yake angekua mmoja tungesema humkazi vizuri labda ingawa pia sio sababu ya kuchepuka, angekwambia mkae chini myajenge kwa mwanamke mwenye akili lakini.
 
Back
Top Bottom