Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

"This application is designed to monitor the phones of your children, employees or your own phone.
You must own the phone or have the appropriate consent to monitor it.
You must inform the phone users that they are being monitored by this application, otherwise it may result in a violation of federal and state laws.
Please refer to your local laws to make sure your particular monitoring activities are legal in your country.
By installing the application or using the service you certify that you act in accordance to the law and you take full responsibility for the use of the product."

Mobile Tracker Hiyo Jamani wadukuzi,wametukumbusha tu..Tuwe na Hekima wakati wa Udukuzi hasa Haya mambo ya kindoa Au Uchumba.Niliwahi ona Sms tu..na trends zake.Mfano tu muda ambao wewe unapiga simu haipokelewi na sms hazijibiwi ndio muda ambao Plan B inafanywa juu yako,ukiuliza unaambiwa nilikuwa mbali na Simu.
 
Duh! haya mambo yanaumiza sana wanaume, ila Mungu ni mwema kwa waja wake muombe akupitishe katika hilo jaribu salama
 
Siwezi jua, kwenye matumizi nina imani kila kitu nimetimiza tatizo labda kwenye 6 x 6
ila ninachojiuliza mpaka sasa wanaume ambao nimegundua anao ni 6 sasa hao wote
hakuna hata mmoja anayekidhi vigezo vyake?
Wanaume 6? Ulioa mke au changudoa?
 
Binafsi najuta sana kufahamu maswala ya teknohama, maana ni mwaka wa pili huu sijaona mwanamke mkweli kila ninayempata nikimdukua nagundua kuwa sio mkweli, kwahyo nimeamua kutokuweka akili yangu kwa hawa viumbe..Kwa niyaonayo makazini kwa wake za watu hata hamu ya kuoa sina kabsa.
unaweza usioe au ukaoa Demu flani wa kawaiiiiiiidaaaaaaa!!!!! Hahaaaaa
 
AISEE WANAWAKE HAWA ACHENI MI WANGU KILA MATUMIZI NAMPA CM NAMPIGIA KILA WAKATI KUMUONYESHA NIPO NAYE KARIBU WEEKEND TUNAENDA KUTEMBEA YAAN NIKASEMA HUYU MWANAMKE WA KUOA NI KA INSTALL SOFTWARE KWENYE CM YAKE NIJIRIDHISHE NILICHOKUTA HUMO TUPO WA NNE KUNA KIPINDI NIKTOKA NAE ANACHAT NAO MBELE YANGU MAANA SMS ZAKE ZILIKUWA ZINAINGIA KWEYE CM YANGU SIKU HIYO NIKAMUITA HOME KWANGU NIKAMUULIZA UNANIPENDA AKAJIBU NDIO WE NI MWANAUME WA KIPEKEE BLABLABLA KIBAO NIKA PLAY AUDIO ZOTE MBELE YAKE NIKAMUONYESHA NA SMS AKAANZA KULIA PALE NIKAMSHIKA MKONO IKAMWAMBIA NIMEKUSAMEHE ANAENDELEA KULIA CHINI KAMVUTA HADI NJE NIKAMTOA NDANI KWANGU NIKAFUNGA NYUMBA NIKARUDI ZANGU KAZIN TOKA SIKU HIYO MWANAMKE AKINIAMBIA ANAIPENDA HUWAGA NAANZAGA KUCHEKA
Ungepiga na vibao kabisa
 
Ndio maana juzi kati uliona uende kupigwa massage ili kuweka mwili Sawa?
 
Mkuu GAZETI nimesoma comment nikagundua huyu bwana ni muungwana sana, na ni mstaarabu pia
 
Back
Top Bottom