Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Acheni tu wanawake waitwe wanawake, natamani kuweka Audio ya maongezi
na michepuko yake lakini naona kama itakuwa udhalilishaji.

Nimeamua Kutafuta Mnyarwanda nipeni ushauri wadau.

SEHEMU YA MESEJI YAKE NA MMOJA WA MICHEPUKO.

(Ashakum si matusi kuna lugha kidogo si za kiungwana)

Baba K. Vipi huyo m.senge hajaondoka nina hamu ya kutomba mimi.
Mke wangu.Wee koma mume wangu usimwite mse.nge sio kwa kuwa
nakupa ndio umtukane mume kalipia mahali yule.
Baba K. Basi nisamehe lakini mwenzio nyege zimenizidia.
Mke wangu. Subiri aende Mpirani nitakupigia.
**********************************
Baba K. Vipi mbona Kimya?
Mke wangu. Leo ngumu kumbe mpira ulianza saa 11 tusubiri kesho nasikia ni
fainali labda itaanza usiku kama zile zingine si unajua akitoka saa 12 harudi mpaka
saa 5 usiku.
 
Itakuwa huyo baba K ndio huyu
IMG-20180715-WA0038.jpg
 
Bro a u serious umetendwa??
Sababu sio jambo dogo watu km watu wanavyofkiria.
Si unaona manjagu wanajiwasha shaba kila siku sbb ya mapenzi.
Kama ni kweli nakupa pole sana sbb najua inavyochoma mtimani
Siwezi kujiua kijinga hivo mpaka hapa naandika kuna audio nilikuwa nasikiliza
najua haya mambo nikiyaweka sana moyoni yanaweza kunitokea puani, sijisikii
Huzuni niko kawaida kabisa namwona waifu kama kituko tu fulani.
 
Acheni tu wanawake waitwe wanawake, natamani kuweka Audio ya maongezi
na michepuko yake lakini naona kama itakuwa udhalilishaji.

Nimeamua Kutafuta Mnyarwanda nipeni ushauri wadau.

SEHEMU YA MESEJI YAKE NA MMOJA WA MICHEPUKO.

(Ashakum si matusi kuna lugha kidogo si za kiungwana)

Baba K. Vipi huyo m.senge hajaondoka nina hamu ya kutomba mimi.
Mke wangu.Wee koma mume wangu usimwite mse.nge sio kwa kuwa
nakupa ndio umtukane mume kalipia mahali yule.
Baba K. Basi nisamehe lakini mwenzio nyege zimenizidia.
Mke wangu. Subiri aende Mpirani nitakupigia.
**********************************
Baba K. Vipi mbona Kimya?
Mke wangu. Leo ngumu kumbe mpira ulianza saa 11 tusubiri kesho nasikia ni
fainali labda itaanza usiku kama zile zingine si unajua akitoka saa 12 harudi mpaka
saa 5 usiku.
mmh, ngumu hii
 
Masikitiko yangu mimi ni kwa wale wahenga wenzangu wanaooa dogodogo na mtaani kuna hawa young men wanaoanza maisha. Unakuta mhenga anahangaika nyumbani mambo yawe super mboga ni samaki, kuku maini au beef fillet.

Kijana anapakuliwa mapaja yote, mhenga aliyenunua anaishi a kula wings anapozewa na juice ya ukwaju.
 
Back
Top Bottom