Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

334130
 
Pole sana mkuu Gazeti and you're so strong kwakweli ,ila huyo mdada mmh mpk michepuko 6, labda mngejaribu kukaa muongee umuambie uchafu wake anaoufanya unafahamu na ikibidi shirikisheni wazazi, anaweza kujirekebishwa akawa mtu mwema kbs na maisha yakaendelea.
 
Jamani, HAKIKISHENI UNAPOFIKIA HATUA YA UCHUNGUZI, JUA UWE UMEAMUA KUACHANA NA UNATAFUTA SABABU ZA MSINGI... kama mtu bado unampenda achana na kuchunguza... AFTERALL makosa utakayoyakuta HATA WEWE YATAKUUMIZA TENA HASWA...

Kuchapiwa ni siri ya ndani, nyie mnaiweka hadharani... HALAFU UTAKUTA WANAOLALAMIKA KWA NGUVU ZOTE NDO WACHAPAJI WAKUBWA WA WAKE ZA WATU.....

Hapo kwenye blue, inabidi pazingatiwe kiabla ya kudukua simu ya mpenzi. Haina maana kumdukua na kujua then hukawa huna maamuzi ya kusitisha mahusiano.
Pia wadukuzi watueleze kama na wao hawajawahi kuwa na michepuko
 
Pole sana mkuu Gazeti and you're so strong kwakweli ,ila huyo mdada mmh mpk michepuko 6, labda mngejaribu kukaa muongee umuambie uchafu wake anaoufanya unafahamu na ikibidi shirikisheni wazazi, anaweza kujirekebishwa akawa mtu mwema kbs na maisha yakaendelea.
Nope akifanya hivyo huyo dada atamuona boya. So kilichobaki ni amuonyeshe madudu yake na maovu yake then walk away.

hiyo kiyu huwa inawaua sana masista du , tlinawaumiza muda mrefu maana hawatarajii kujulikana na pia hawatojua ni nini ulikuwa unawaza.
Wala usimpige ila muonyeshe kwa mba unajua alafu mpotezee, atapata tabua sana. Kila akikumbuka atakuwa anakumbuka madudu aliyofanya .. na roho itakuwa inamsuta siku zote.
 
Ila acha tu.hadi sasa nikikumbuka yaliyonikuta mi roho hupasuka paaaa!
Hii mambo skia kwingine tu.kugongewa inauma sana asee
ha haha haha ..pole sana mkuu..kugongewa soon ukijua lazima ukaukiwe mate kinywani aisee..
 
Back
Top Bottom