masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,762
- 16,600
Hahahahahaha, umenifurahisha.
Hahahaaa mkuu umenichekesha sana....maswali ya section C ndo yapi hayo??
they killing ma mind to hear the same words all the time its real real boaringhahahaha! Jumanne ya leo nzuri. miss chagga kakasirika kuambiwa I love you wkt mwenyewe alikuwa anataka waongee mambo ya uchumi, Price kakasirika kuulizwa amevaaje.
Nyie wanaume mjifunze jinsi ya kuongea na warembo
Hahahaaa mkuu umenichekesha sana....maswali ya section C ndo yapi hayo??
Right on sister!!!! hahahaha kumbe hili ni janga la kitaifa.......Tena nasema sipendi na sitaki.... msione nawanyamazia na kukata simu... sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu Usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje....he! itakusaidia nini wewe... am i your Girlfriend!! Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii...... Baadhi ya wanaume mpoje! yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini.... ongeeni mambo ya msing bhana ka ma huna ts better usicall
Right on sister!!!! hahahaha kumbe hili ni janga la kitaifa.......
Haaaa haaaaaa haaaaaaa.... kila ukiongea nae anakwambia tu miss chagga i love u, ilove u sooo much, i love u veeeery much..... kha!afadhali mama wanachosha mwiingine kusifia mwanzo mwisho na i love u its real boaring aisee
pole sana,kwani ulikuwa umevaaje ?maana umekuwa mkali sanaTena nasema sipendi na sitaki.... msione nawanyamazia na kukata simu... sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu Usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje....he! itakusaidia nini wewe... am i your Girlfriend!! Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii...... Baadhi ya wanaume mpoje! yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini.... ongeeni mambo ya msing bhana ka ma huna ts better usicall
Haaaa haaaaaa haaaaaaa.... kila ukiongea nae anakwambia tu miss chagga i love u, ilove u sooo much, i love u veeeery much..... kha!
Na wewe ni mmoja wao eeeh
Vipi saizi umevaaje!