Ha ha ha ha ha!
Mke wa mtu ni Price au Miss Chagga?
Samahani mkuu Gwijimimi. Mimi sielewagi jinsi mnavyooa humu ndani.
punguza hasira baby,,... unataka nikushike wapi?
punguza hasira baby,,... unataka nikushike wapi?
hapo panatosha utaki niende zaidchini ya kiuno lol
Oh my God
Naibwa HV HV msukuma Mimi
Naibwa najiona
ujaibwa bwana bado upo nikushike wapi?
hapo panatosha utaki niende zaid
Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?
Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?
Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu
punguza hasira baby,,... unataka nikushike wapi?
chini ya kiuno lol
Hahahaaaaa,,JF bwana never boring!!! miss neddy kumbe hapo ndipo mashetani yako yalipo??!!
Hahahaaaaa,,JF bwana never boring!!! miss neddy kumbe hapo ndipo mashetani yako yalipo??!!
kwanini mashetani?
Hahahaaaaa,sio siri tena hii miss neddy!!Hahahaaaaaa
Hahahaaaaa,,JF bwana never boring!!! miss neddy kumbe hapo ndipo mashetani yako yalipo??!!
hahahaha miss chagga am not your gwijimini
i know but si unajua tena
Huyu mwanamke duuuu sijui jini mahaba maana I.love the way she lie jamani.uwiii
hahaha mahaba nipofushe eeeeh