Tutakaribia baba Ahsante sana!!πOohh hallelujah,
Karibuni sana katika madhabahu teule ya bwana, mchote mibaraka kama yote, na Mungu atawabariki sana ....
Natoa huduma J4 na ijumaa jioni pia,
Karibuni sana
Sina cha kukusaidia wifi!! πππSijayataka nionee huruma jamaniππ
Si unaona alivyo kimya π₯΅Sina cha kukusaidia wifi!! πππ
Uniwahie siti ngoja nikachukue kitenge changu kwa fundi jumaTutakaribia baba Ahsante sana!!π
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji πππ
Oohh!!!
Na Bwana wa Majeshi atawatakasa kabisa na kuwavisha utu mpya, kiroho na kimwili, na watakua weupe kama pamba wakifurahia vema kibali na zawadi ya uhai, afya njema, maisha mazuri na matamu alizowajaali Mungu mwenyewe...Tutakaribia baba Ahsante sana!!π
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji πππ
Fanya hivo bff πππUniwahie siti ngoja nikachukue kitenge changu kwa fundi juma
π€£π€£π€£π€£ imekula kwakoWazee wa konli konli, washamnyakua konli konli, nyaku nyaku eeehππππππ
Hahahaha[emoji3]View attachment 2819049
Sio mimi nimetupia tu wakuu, mwenyewe nimekaokota kwa Twitter
How are you my baby girl ?Mama[emoji3590]
I'm fine mom[emoji3059]How are you my baby girl ?
Siwezi ibiwa Sadaka zangu Mimi!ushindwe na huyo nabii wako kisheti!π€£π€£π€£Tutakaribia baba Ahsante sana!!π
Nitakuja nao wote hawa watu wa mataifa waliogoma kumkiri Yesu km ni Bwana na mwokozi wao!
Joannah Antonnia Missy Gf cocastic na mama mchungaji Tayana-wog jpili ijayo wote ibadani kupata upako na uponyaji πππ
Huyo fundi mbinguni Moja Kwa Moja.!!hiyo kushona si ya Mungu, ni huyo fundi katika kutoa sadaka yake
πππNiandalie kahawa tamu km ile ya juzi ili nikusamehe wii πππ
Bahiribwa kimataifa π€£ππSiwezi ibiwa Sadaka zangu Mimi!ushindwe na huyo nabii wako kisheti!π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23] naona hizo dalili, hiyo good morning imenichanganyaItakuwa kashaenda huyu ananizuga hapa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu ni nan? Ndio yule rafiki na cocastic?[emoji23][emoji23][emoji23] Chino wana man mtani wangu bhana