Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Nilishakuambia jichanganyeee,
Katavi inakuhusuu, wee huogopiiiiii?
Bestie ngoja nirudi tu Ghetto nikaendelee na mishe zingine nipo Bamaga hapa napaona ni pale lakini mwili wote ganzi.
 
Wee jichanganyee, tangu uliposema huo mpango yuko na mzee wa Suti nyeusi, nilijua unataka kuyatimbaaa,
Potezeaa bhanaa, au tukarogeee we unaonajeee??
 
Bora niendelee kula mihogo na Mo eneji tu hayo siyawezi. 😂😂😂
 
IMG_20240701_141625~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom