Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,181
Pitia za juuu nimeweka pitia utaona ambazo sijapaka mekapuChalii una sura nyingi 😂😂😂😂
Pitia za juuu nimeweka pitia utaona ambazo sijapaka mekapuChalii una sura nyingi 😂😂😂😂
😂😂😂😂 unapaka na mekapu??Hiyo ni mekapu
😂😂😂 Alooo!!Pitia za juuu nimeweka pitia utaona ambazo sijapaka mekapu
Umeziona ?😂😂😂 Alooo!!
Uzi umeingiliwa na mamluki, tunaomba uzi ufutwe.Photo shoot na mekapu ya laki 7 shingoni Silva laki 2 msalaba sikioni milioni 5 saa ya Silva milioni 10
Lubumbashi finest ❤️❤️❤️
View attachment 2922702
Ndio si ya usoni tu kwani wanapaka wanawake peke Yao hapo nilipaka ili nipige photo shoot kalii na kweli ikatoka kalii sana hapo ilikuwa ofisini kwa photographer maeneo ya tabata😂😂😂😂 unapaka na mekapu??
Kwa sababu Gani Mkuu Uzi ufutwe kwani Kuna mtu kavunjiwa heshima apo?Uzi umeingiliwa na mamluki, tunaomba uzi ufutwe.
😂😂😂😂 chalii unazingua aiseee!!Ndio si ya usoni tu kwani wanapaka wanawake peke Yao hapo nilipaka ili nipige photo shoot kalii na kweli ikatoka kalii sana hapo ilikuwa ofisini kwa photographer maeneo ya tabata
Kwa Nini dada yangu 😂 ??😂😂😂😂 chalii unazingua aiseee!!
Unapakaje mekapu mtoto wa kiume?? 😂😂Kwa Nini dada yangu 😂 ??
Wanapaka wasaniii waandishi wa habari mbona kawaida dada yanguUnapakaje mekapu mtoto wa kiume?? 😂😂
Tupiamo😍😍Nimefika kipenzi
Mmeanza kufukua makaburi😁😁Tupiamo
Aiseeeeh,kijana.Photo shoot na mekapu ya laki 7 shingoni Silva laki 2 msalaba sikioni milioni 5 saa ya Silva milioni 10
Lubumbashi finest ❤️❤️❤️
View attachment 2922702
😳😳Photo shoot na mekapu ya laki 7 shingoni Silva laki 2 msalaba sikioni milioni 5 saa ya Silva milioni 10
Lubumbashi finest ❤️❤️❤️
View attachment 2922702
Unazingua 😂😂😂😂Wanapaka wasaniii waandishi wa habari mbona kawaida dada yangu
Ndio maana niloomba uzi ufutwe..Unapakaje mekapu mtoto wa kiume?? 😂😂