Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,906
- 82,171
Kawaida mbona hii ni ya kiumeUnazingua 😂😂😂😂
Ujue wewe umepaka na lipstick umeona??
Kawaida mbona hii ni ya kiumeUnazingua 😂😂😂😂
Ujue wewe umepaka na lipstick umeona??
Lipistick ya kiume 😂😂😂😂Kawaida mbona hii ni ya kiume
😂😂😂😂 una hoja usikilizweNdio maana niloomba uzi ufutwe..
Hili ni tangazo mkuu.. Usijisumbue. Mwambieni dogo alipie tangazo lake. Limeshaenda viral tayar.Lipistick ya kiume 😂😂😂😂
Kweli tena chalii umezingua
Weee😳 sema kweli?Ndio si ya usoni tu kwani wanapaka wanawake peke Yao hapo nilipaka ili nipige photo shoot kalii na kweli ikatoka kalii sana hapo ilikuwa ofisini kwa photographer maeneo ya tabata
Tumeambiwa tuchangie kwa nidhamuNdio maana niloomba uzi ufutwe..
HapanaMmeanza kufukua makaburi😁😁
😁🤣Weee😳 sema kweli?
Hapana sijazingua 😂😁Lipistick ya kiume 😂😂😂😂
Kweli tena chalii umezingua
OohooNdio si ya usoni tu kwani wanapaka wanawake peke Yao hapo nilipaka ili nipige photo shoot kalii na kweli ikatoka kalii sana hapo ilikuwa ofisini kwa photographer maeneo ya tabata
😂😂😂😂Photo shoot na mekapu ya laki 7 shingoni Silva laki 2 msalaba sikioni milioni 5 saa ya Silva milioni 10
Lubumbashi finest ❤️❤️❤️
View attachment 2922702
Niaje dada yangu 😂Oohoo