Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Weka tena basi ☺️Utakua ulisinzia😁
Weka tena basi ☺️Utakua ulisinzia😁
😂😂😂😂😂Ule mkofia msafi nimeufua na dettol na sabuni ya kigomaUle mkofia unasababisha harara, chunusi na vipele usoni usiwe unauweka kwenye piacha tafadhali
Nimekuwekea pm🏃🏃🏃Weka tena basi ☺️
Eeeeeeeh makubwaMie nimebaki nashangaa watu washaanza kunihusisha na huyo Smart wao hata sina mazoea nae. Ujinga ujinga tu![]()
,Hi babe gal
Ulipotelea wapi dear😍Hi babe gal
Nilikua honeymoon babe☺️☺️☺️☺️Ulipotelea wapi dear😍
Na wewe ushampata wako😍Nilikua honeymoon babe☺️☺️☺️☺️
Eeh nishampata wangu siko single 😂😂😂😂😂Na wewe ushampata wako😍
Marahaba sisy..umepoteaaaa...Ccy Antonnia
Nuzulati
Kalpana
Mjep
Intelligent businessman
Glenn
Unique Flower
Na wengine wengi.
Shikamoooni ☺️☺️☺️
Daktareee mkareeee ndani ya kanga moko 🔥🔥🔥😁
Nipo ccy hii mada haina tofauti ma selfika.Marahaba sisy..umepoteaaaa...
Japo mada sijui ya lini hii...
Nimekumis karibu visiwa vya karafuu tule pweza
Sawa kipenzi..hivi selfika ilifutwa eee.... 😆 😆 😆Nipo ccy hii mada haina tofauti ma selfika.
Ntakuja ccy ngoja niandae nguo za vacay kabisa 😁😁😁😁
Au sio jf tamu banaMnaniua mbavuuu balaa hukuuu🤣🤣🤣🤭!
Jf sihamiiiiii 🤣🤣🤣🤣
Hi sweetheartHi babe gal
Ili fungwa kipenzi ila ukiitafuta ipo😟Sawa kipenzi..hivi selfika ilifutwa eee.... 😆 😆 😆
Sawa kipenzi..hivi selfika ilifutwa eee.... 😆 😆 😆
Mkuu Coca hajambo?Hi sweetheart
🤠🤠🤠🤠🤠!Si wakuhusishe na mimi tu arifu
Ili niringe nijigalagaze🏃🏃