mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
mtoto portable😋Em tuma yako kwanza nione kama ndo ww☺️☺️
mtoto portable😋Em tuma yako kwanza nione kama ndo ww☺️☺️
😂😂😂Weeh wacha mambo yakomtoto portable😋
Kwa hela zipi mkuu za kuwadanganyia
Ule mkofia unasababisha harara, chunusi na vipele usoni usiwe unauweka kwenye piacha tafadhali😂😂😂Weeh wacha mambo yako
Hii salamu mtego hii...Ccy Antonnia
Nuzulati
Kalpana
Mjep
Intelligent businessman
Glenn
Unique Flower
Na wengine wengi.
Shikamoooni ☺️☺️☺️
😍😍Ccy Antonnia
Nuzulati
Kalpana
Mjep
Intelligent businessman
Glenn
Unique Flower
Na wengine wengi.
Shikamoooni ☺️☺️☺️
Hauna pesa kama wengine?🤣Kwa hela zipi mkuu za kuwadanganyia
Utakua ulisinzia😁Mwee mbona sijaona 😞
🤣🤣🤣🙌Kazi mnayo wallah,
Kumbe bado kuna upumbavu humu.
Nataka niivae mimiUnataka kumpa wifi zawadi??🙂
Turingishie mlongoKazi mnayo wallah,
Kumbe bado kuna upumbavu humu.
Mekumis mke mwenzaaaNipo Lushoto namalizia mwaka shogaa
Wewe si umenichuniaTuringishie mlongo

Na tunashindilia wa kutoshaUgali ndio kila kitu
Siwezi kukuchunia wewe nikikuchunia nakufaa🤣Wewe si umenichunia![]()
Na mlendaNa tunashindilia wa kutosha
Siku haipiti sijala ugali
Nataka nikuzike mwenyewe,endelea kuuchunaSiwezi kukuchunia wewe nikikuchunia nakufaa![]()

Mlenda siyo rafiki kwa sisi wakulimaNa mlenda
"You never know 'till you know.....C'est la vie!!😎😎"