Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Kwa dunia ya jf ukiomba msamaha unaonekana wewe ni dhaifu kitu kikitokea acha kiwe hivyo. Tumeumbwa kisahau watu watasahau tu. Ila ukiomba msamaha unawapa nafasi ya kukupopoa, Jifunze toka kwa Nifah. Kilichomtokea na karudi upya kila mtu hana habari naeOkay

