G
guest-1787677467
Guest
Hongera kuwa na mfungo na kumtafuta Mungu. Mungu akutie nguvu katika njia uliyoichagua.Kipenzi
Nilikuwa kwenye fasting prayers almost mwezi mzima,,nimemaliza siku chache tu kabla ya Christmas.
Kwa namna yoyote tumbo lazima libane sana sana.
Lakini pia huwa sili sana...ila nataka kufidia losted kgs nilizipoteza wakati wa mfungo,,almost 7-8kgs...
Kwahiyo kakitambi ka kufutia simu nakataka.