Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
KipenziI see you babe sis, Saint Anne How do you manage kuwa na flat tummy hivyo kwenye huu uchumi wa mama Samia 😍😍🌺
Dr.Lizzy kama kawaida yako pokea maua yako Dr. 🌺😍
Tayana-wog ya mwisho sijaiona jamani 🥹
Depal i see you ❣️
Dejane 😍😍😍
Mideko nani kakuficha mamalake. 🌺
Ms eyes where are you boo🌺
Antonnia Umekuwa mchoyo siku hizi bi mzuri. 🌺
Missy Gf nakusalimia shougaa 🌸
Hannah, Dr. mariphosa where are you babes. 💕
Na wanaume wote mnaofanya uzi Uendelee kuwa hai 🤍❤️🤍❤️
Nilikuwa kwenye fasting prayers almost mwezi mzima,,nimemaliza siku chache tu kabla ya Christmas.
Kwa namna yoyote tumbo lazima libane sana sana.
Lakini pia huwa sili sana...ila nataka kufidia losted kgs nilizipoteza wakati wa mfungo,,almost 7-8kgs...
Kwahiyo kakitambi ka kufutia simu nakataka.